Sio wewe tu ndugu yangu, wengi tuna hii misala sema tumekausha. Watoto na mama zao wa nje tunawapenda ila kuwatambulisha inakuwa ngumu maana unawezafupisha maisha Yako hapa dunianiDaah! Niliplan kuzungumzia hili pindi nitakapokuja na Season 3. Naamini kufikia disemba mwakani kila kitu kitakuwa sawa, nitakuja kuwapa mrejesho. Tutamaliza utamu mapema sana, vumilia swirry, 🥰
Lakini, hajawahi kumtumia picha, pia alibadilisha namba ya simu. Inshort ni kwamba mama J nishamuandaa vya kutosha kisaikolojia, na anahisi nina mtoto na Iryn.
Suala la mama J linaniumiza sana kichwa, huko ukweni jinsi wanavyoniamini wakija kupata hizi taarifa sijui watanifanya nini.