Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Daah! Niliplan kuzungumzia hili pindi nitakapokuja na Season 3. Naamini kufikia disemba mwakani kila kitu kitakuwa sawa, nitakuja kuwapa mrejesho. Tutamaliza utamu mapema sana, vumilia swirry, 🥰

Lakini, hajawahi kumtumia picha, pia alibadilisha namba ya simu. Inshort ni kwamba mama J nishamuandaa vya kutosha kisaikolojia, na anahisi nina mtoto na Iryn.

Suala la mama J linaniumiza sana kichwa, huko ukweni jinsi wanavyoniamini wakija kupata hizi taarifa sijui watanifanya nini.
Sio wewe tu ndugu yangu, wengi tuna hii misala sema tumekausha. Watoto na mama zao wa nje tunawapenda ila kuwatambulisha inakuwa ngumu maana unawezafupisha maisha Yako hapa duniani
 
Insider please 🥺 naomba kati ya watu utakaowapa bonus n Mimi unikumbuke kwasababu Dunia hairawah kuwa Fair kwangu
Mtoto wa kiume unalilia ofa 🙆🏿‍♂️
Hebu fanyia kazi yale ambayo ameelekeza badala hata ya kuomba kazi ya usafi kwenye ofisi yake wewe unataka upewe bonus (offer). Vijana kama nyinyi ndio mnaouza uanaume wenu kwa kupenda vya bure
 
Wote ambao mnasema Insider ni kiben 10, mnaweza nipa sababu zilizoshiba?.

Jamaa kafungua miradi yake, Dodoma kwa pesa zake bila msaada wa mtu mwingine. Kajenga nyumba Dodoma kwa pesa zake hakuna sehemu ambayo Iryn alihusika.

Leo hii unasema, jamaa ni kiben 10? Hamuwezi kuwa serious. Kama sababu ni Iryn kuwa na pesa, hii sio sababu yenye mashiko. Jamaa ni fighter sana, sijaona uben 10 wake hadi sasa. Tukubali jamaa kabahatika kupata mwanamke mwenye pesa na wengi wetu hizi ni ndoto zetu.

Tatizo ni nyota
 
Kuna historia jombaa, na kila mtu ni mkali kwa anachokipenda.

Mama 2 akiweka mzani kati ya mwanae na huyu mwamba ni wazi anaempenda zaidi ni mwanae na ndo atamlinda at any cost.

Wewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...

Hata mimi ningekua mwamba ningesamehe tu, shit happens
Wewe ni kiaz... heb soma vizuri ndio ujib..Acha kurukia rukia
 
Kuna historia jombaa, na kila mtu ni mkali kwa anachokipenda.

Mama 2 akiweka mzani kati ya mwanae na huyu mwamba ni wazi anaempenda zaidi ni mwanae na ndo atamlinda at any cost.
Wewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...

Hata mimi ningekua mwamba ningesamehe tu, shit happens

Kwa haya maneno yako..ni kweli umerukia swali la huyo mkuu hapo
 
Amekurupuka puuu
 
Mtoto wa kiume unalilia ofa 🙆🏿‍♂️
Hebu fanyia kazi yale ambayo ameelekeza badala hata ya kuomba kazi ya usafi kwenye ofisi yake wewe unataka upewe bonus (offer). Vijana kama nyinyi ndio mnaouza uanaume wenu kwa kupenda vya bure
hII comment ningeandika mimi ningeitwa Mchochezi, anywei tuendelee kujifukiza
 
Kwa mliojifunza upambanaji wa mwamba ebu mtusaidie kwenye engo ipi maana dude ni msingi kiuno kwa ailini na katobolea hapo if at all hii stori ni ya kweli.....chawa msinipopoe hatuwez kufanana the world would be a boring place to live
If unusual wouldn't happen then there wouldn't be any funny in life by Livermore
 
Back
Top Bottom