Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Kwamba

Remarks:-carryover ZL 210 physiology anatomy i
 
Usipoendekeza mapenzi chuo kamwe huwezi kufeli/kupata sup.
kwa logic yako walio sup wote hawakuwa serious? au ni vilaza in a certain way? Au mapenzi? Kufeli kunasababishwa na sababu mbalimbali watu wanapenzika wanakula bata na kufeli hawafeli bro wakati wapo ambao wanakua serious na kitabu 24/7 na bado wanasup/carry wanashindwa na wala bata hadi GPA
 
Halafu mkisikia nafasi za lecturer mnaomba mnatumbua kwenye shortling 😡😡😡
 
Sup/probation ni kawaida sana chuoni.
Kwenye crew yetu hapo SUA ilikua huwezi kutukosa Mazimbu a.k.a September Conference kwenye Probation
 
Ulijifanya kuendekeza mapenzi.
 
Coed vipi nasikia wao ni Bata tu hakuna sup wala carry!
 
Yah nakubaliana na wew inategemea na kichwa kw wakati husika ,if ngoma Moto kutoboa ngumu
Kuna mwamba yeye hatoi A kabisa kwenye somo lake unakuta watu wawili au mmoja ana B+ then B kama 4 , C kama 8 the rest wamesup kabisa yaani mkifanya pepa anakamata robo 3 ya darasa. Kuna mwaka dogo mmoja akapiga A babu ikabidi asahihishe pepa la dogo mara 3 anaangalia makosa ili amkate (story alituhadithia mwenyewe) ila hakuyapata ikabidi ampe dogo A yake hawa wazee watakuja kuua watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…