Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Kwa wanawake huwa inawauma zaidi sababu Hana uwezo wa kumpata kama huyo aliyekuwa nae au kumzidi , hasa kama mwanaume ana muonekano mzur alaf anajiweza , mana wewe inategemea ufatwe sasa wa kukufata kama yeye siyo rahsi kuwapata , akikuacha utalia na kusaga meno , Kwa wanaume ni rahsi kupata best replacement , cha msingi uwe unajiweza kiuchumi