Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kauli gani hiyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo dada alikuwa anakufahamu
 
kitu gani hicho?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
introverts hawawezi unafki
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kauli gani hiyo
😂 😂 😂
Nilimuuliza yuko job au amesharudi home...aka ijibu "niko home shoga angu"...Aisee nilimimind kinoma...ila yeye akakazia tena "shoga angu usinune bwana". Nikawaza au kwa sababu niko karibu naye sana (hadi kuna watu kibao walijua yeye ni demu wangu, pia hata yeye alikuwa anajitangaza kwa baadhi ya watu kuwa ni demu wangu) na hata siku moja sijawahi kuonyesha dalili ya kumtaka kingono so landa ndo ananiona mi ni kama demu mwenzie...nikaamua kupiga 'tinted'.

Leo yenyewe mida ya saa tatu amenitext akiendelea kuni'apologize lakini sijisikii kabisa hata kuwasiliana naye.
 
Dah yaan Mimi nahisi Niko tofauti Sana na watu wengine Kuna mda huwa sipendi kabsa kuongea na mtu yyte na kupokea simu wat husema Nina kiburi ,
Pia naweza kujifungia ndan kwa mda mrefu .
nikiwa o level wat walisema sizan kama nitafauru sabab sichangamani na watu lakni tangia nmeanza kusoma cjawahi toka top4 .

ndugu upande wa baba ndo atuna ukaribu kabsa wanaishia kusema tu malezi ya kimaskini ya single mother ndo yemeniathiri,. Sometime huwa natami nichangamane nao lkni huwa nahofia Sana kwamb watahisi nafuata msaada kwao naishia kwapotezea tu.

Tatzo jingie kubwa sana huwa sipendi kabsa kusifiwa yaan mtu akinisifia huwa nafadhaika Sana cjui kwanini (God help me) huwa nahisi kama ananikejer hiv nahisi sababa y kukulia kweny umaskin na kukataliwa.
Kweny mahusiano naweza nkampenda mtu kwa mda mfupi tu lkni baada ya mda staki hata kumuona nikiwa alone nakuwa na furaha Sana
Napenda kusikiliza mziki hasa old skul unanikumbusha mmont flan za kitamb afu naenjoy.
Sometime nkiwa chuo napenda kwend club na mziki nacheza (japo sio Sana)

Nauwez wa kusoma alama za nyakati sna nikiona sehem wat Kam hawapend uwepo Wang huwa nasepa kimya kimya, afu Nina mtindo wa kuhukumu mtu kimya kimya siwez kumchana live,
Kwhyo hkumu yake nakuwa naijua mm tu yy ajui atakuta mtu nmebadirika tu. Popote napoishi watu hu feel kama mm nateseka ,najifanyisha na kiburi
Wengine husema najifanya mkimya kumb mhuni tu huwa naumia na kutoa hukumu kimyaa kimya .
Mamangu tu na baadhi y ndugu upande wa mama ndo pekee wanajua jinsi ya kuishi n mm
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umekuwa naye rafiki kwa muda gani?
 
Kuna wengine wanatumia hii mambo ya introvert kama gia ya kupata mademu hahaaaaaaa....
Utakuta mtu anajiita introvert ila mkute ktk nyuzi sasa kila demu ana flirt naye.....
Mwingine akisikia introvert wana vijiakili akili basi anenda Mawasiliano getini pale kwa bonge kununua miwani ili aende na biti hahaaa tunawachora tuuuuu.....

it's easy sunday relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…