Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Dah aisee.

Mawazo,kuwaza Sana hii Hali inaniumiza sana.nina marafiki wachache na sio mwepesi kushare kila kitu kwa watu.

Sio mwepesi kumzoea mtu,mara nyingi niko kimya,huwezi kunikuta vijieweni mara nyingi.

Kazini dereva wangu ni muongeaji Sana lkn kuna musa naona ananiboa Mana nakua kimya nikitafakari mambo mengi kichwani.

I hate this situation yani,I'm not happy wakati sitakiwi kuwa hivi.

Kipindi flani niko chuo nilienda hospital moja,daktari alivyoniona akaniita akaniuliza unawaza nini?akanipa ushauri na kunisihi nipunguze mawazo,haya maisha yapo tu.its almost 5 years lkn bado nakumbuka ushauri wake.


Sometimes nachukia kuwa introvert Mana nahisi najiua kimya kimya.
Hiyo hali ya kuulizwa 'mbona unaonekana una mawazo sana!?' ishanitokea mara nyingi sana; kwenye daladala, darasani, nk.

Nakumbuka kuna kipindi nilikiwa na utaratibu wa kwenda kukaa kwenye lile daraja la wapita kwa miguu la pale ubungo mida ya usiku. Nilikuwa naenda kukaa sehemu ambako movement za watu sio nyingi na kuanza kutafakari kuhusu mambo mbalimbali.

Sasa kuna siku moja dada mmoja akanifuata na kuanza kuniuliza nina shida gani mbona nimekaa mpweke na inaonyesha nina matatizo. Nikamwambia mi niko fresh wala hata asiwaze sana kunihusu. Lakini yeye akaendelea kunikazia kuwa nina shida so nimwambie, nikaona kama ananizingua, Nikanyanyuka nikasepa nikaenda kukaa sehemu nyingine huku yeye akiona.

Ni kama ukichaa flani hivi, ila ni ukichaa ambao binafsi naufurahia.
 
Acha tu mkuu shamrashara huwa zinanivuruga kichwa,basi na ule mziki mkubwa unaopigwa naona shida tu,nikitoka hapo huwa nahitaji kuwa peke yangu kwa muda fulani kurudisha nguvu otherwise nakuwa sipo normal
Dooh kukaa pekee yako ili kurudisha nguvu, by the way nguvu zipi hizo? Na zinaishaje? Kwamba ili zirudi unalazimika kukaa peke yako, kwa nini?
 
Ndivyo tulivyo we are too selective hata kwa habari ya kuchagua mwenza wa maisha.Huwa nawaza huenda kundi la introvert ndio linaloongoza kuchelewa kuyaingia maisha ya ndoa kwa sababu ya kutafakari sana kabla ya kufanya maamuzi.Najisikia amani nikiwa na circle ndogo ya watu
Hivi tarehe na mwezi wa kuzaliwa unaendana na kuzaliwa ukiwa either introvert au extrovert?
 
Mazingira nilikua napenda kwenda kuangalia mpira,michezo kama draft na marafiki nilio kua nao.. sema asili ni asili tu.. kwani sasa hivi naweza nikawa muongeaji kama siku hata mbili but week inayo kuja ntajifungia ndani na marafiki ntaanza kuwakwepa.
Hahahaha very true
 
Hiyo sio intrverts trait ni behavioral model yako.
Binafsi hata nikuchukie vipi nikitabasamu au ukiniomba msamaha nasamehe kila kitu. Sipendi kuombws msamaha maana neno nisamehe hua laniuma sana
Noma sana, huwa najitahidi kubadilika lakini najikuta nashindwa kabisa. Halafu asilimia kubwa huwa ni kwa upande wa jinsia ke.
Anyway, maisha yana njia nyingi sana za kupita.
 
Kwenye makundi ya binadamu i mean intro, extro na ambivert makundi nyota (zodiac signs) yanachangia kiasi kikubwa kudetermine group ambalo una exist.

Mfano nyota ya samaki(pisces ) watu wake wengi ni introvert while nyota ya simba(leo) watu wake wengi ni extrovert.

Na ukitaka kupata mwenza wa maisha consider makundi nyota.. utapata who is compatible to your sign and who is not
 
Yes offcourse hata mimi ndio nilivyo.
Kwa mfano mtu akiniletea dharau huwa narekodi halafu namvizia baada ya muda mrefu sana wakati kashasahau namfanyia kitu ambacho kitamtesa miaka yote.
Yaani niko very strategic nikimuwekea mtu mtego anakuja kunasa mzima mzima lazima kamasi zimtoke.
Umezaliwa kati ya mwezi tarehe 20 mwezi wa 6 hadi 19 mwezi wa saba???? Yaani lazima utakua unacheza hapo
 
Kuna nyumba nimehamia kuna wadada wanajitahidi sana kunizoea lakini inashidikana. Ni hivi majuzi mmoja wao akavizia narudi kutoka kazini ikabidi aniulize jina maana anadai huwa wananitambua kama "yule mkaka wa chumba cha kwanza".

Najitahidi sana niwazoee lakini kuna nguvu inanirudisha nyuma najikuta sina cha kuongea nao, sina mada ya kuchangia. Kutoka nje sana sana ni hadi nikiwa nafua, muda uliobakia naumalizia ndani kwangu hadi muda wa kulala ukifika.
 
Kuna nyumba nimehamia kuna wadada wanajitahidi sana kunizoea lakini inashidikana. Ni hivi majuzi mmoja wao akavizia narudi kutoka kazini ikabidi aniulize jina maana anadai huwa wananitambua kama "yule mkaka wa chumba cha kwanza".

Najitahidi sana niwazoee lakini kuna nguvu inanirudisha nyuma najikuta sina cha kuongea nao, sina mada ya kuchangia. Kutoka nje sana sana ni hadi nikiwa nafua, muda uliobakia naumalizia ndani kwangu hadi muda wa kulala ukifika.
Kula tunda ww😂😂😂
 
Dooh kukaa pekee yako ili kurudisha nguvu, by the way nguvu zipi hizo? Na zinaishaje? Kwamba ili zirudi unalazimika kukaa peke yako, kwa nini?
Nguvu niliyozungumzia ni ile hali ya kuhisi akili na mwili wako uko active yaani haujashoshwa.Hata wewe ukijichunguza vizuri utagundua kuna vitu ukifanya akili au mwili wako inachoka au inapata nguvu.Sasa kiasili kuna mambo yanachosha ubongo wa introvert kwa wepesi,ubongo wa introvert unapenda utulivu.
Vitu kama sauti ya mziki wa juu sana,maneno maneno mengi,purukushani/hekaheka,makelele n.k vinasumbua ubongo wa introvert,ndo hapo tunahitaji mazingira yatakayorudisha nguvu mara inapotoweka.
Natumai umeelewa otherwise atakuja introvert mwingine kukueleza vizuri
 
Naongezea sifa zengne tulizo nazo ma introvert...

1-: hatujui kuchagua vitu hasa rangi au umbo....yaani unaweza ukatoka nyumban kwenda dukan kununua labda nguo aina flan rangi flani ile nguo ukaikosa apo Sasa muuzaji anaweza akakuuzia rangi yyte ata usiopenda na ukashindwa ata kukataa...unalipa unasepa uku ukijifariji.

2-:wapekuzi sana wa mambo yaani Kama unamauhusiano na bint utampekua bila yeye kujua adi mambo yasiopekurika mwsho wa sku huwa tunabaki na siri moyoni wala hatuwaambii wale tulio wapekua..

3-: hatupendi kutishwaa....mfano kutishwa utoe kitu fulani ili upate kitu fulani,

4-:hatuwezi kusimulia vtu kwa mdomo...tunaweza tukasoma vtu tukavielewa Ila Kwenye kuvipresent tukashindwa.

5:- huwa tunatamani tuwe tofauti na tulivyo Ila tunajikuta tupo hvyohvyo,usipojijua utabaki unaishi maisha ya kuiga tu.

6-:tunapenda Sana kufanya mapenzi Ila hatupendi tuonekane katk hali hyo...

7-: wapenzi wetu Mara nyingi ni wale marafiki zetu wa karbu sana...tulio wazoea ndo hao hao tunawatongoza.
Umemaliza kila Kitu, kama hizo ndio tabia za ma Introvert huyo ni mimi kabisa na mbaya zaidi nazikuta hizo tabia mpaka katika nyota yangu, Scorpio 10, Nov.

Kikubwa uzi huu umenisaidia kubishana na hali hii kwa kiasi fulani... coz kuna mambo mengi niliyoanza kuyafanya ila kuyamalizia ndio mtiti ulipo kwakua naona kama finishing haitakua kama ile niionayo fikrani so now nimeamua kuyamalizia hivyo hivyo na mrejesho niupatao ni tofauti na nilivyokuwa nadhani mwanzoni. Kumbe nilikua sahihi tuu.

Kero kubwa niipatayo ni watu wangu wakaribu ndugu na marafiki kudhani nipo katika mateso ya maisha yangu. ilhali mimi kama mimi naenjoy tuu. Nilijua nimeamua tuu kupenda kuwa peke yangu kumbe sivyo... but faida za upweke zimenifanya niwe mult talented kwakyweza kufanya vitu vingi vyakisanaa kuanzia kuchora, kuimba, kuigiza, kutengeneza uchongaji, ushonaji na hakuna kitu nimejifunza nikafeli.

Na kitu kingine ni watu kudhani mimi siwezi kukosa deal lakufanya kiasi hata deal zikija wanadhani nitazikataa kutokana na u personal wangu katika kuishi. So nakosa michongo mingi sana mpak nikiwa natangaza ukitokea ila bado naonekana kam natania.

Maapenzini ndio umeua kabisa, katika puyanga zangu mpaka sasa sijawahi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye sikufahamiana nae b4 mahusiano.. hata nijue yeye ndio ananipenda mpaka hajiwezi lazima nimfanye rafiki kwanza nikimuelewa tunalisongesha..

Sasa kama kun jamii hii yetu, je Jamii kwa ujumla ina elimu ya tabia hizi? Jibu hakuna, kwa maana hiyo kuna watu wengi channel zao zimekuwa chenga kutokana na kulazimishwa aishi katika maisha yasiokuwa yake..

Kila niliposoma, hadi kuzoeana na maclassment ilikua inanichukua mwaka mzima, na nikishazoeana nao, mimi ndio nakua kiongozi wa watu wenye mishemishe na kufikia kuweza kuwa kiongozi wao.

Ninachokiona sasa, hata mahusiano ya watu wa jamii hii wengi huwa wametendwa kuliko kuwatenda wenzi wao. Na kibaya zaidi Introvert akisema hataki kutoka moyoni, bora uachane nae labda iko siku atakukumbuka, Hatulagi matapishi kabisa.

Swali langu ni hili... Je kwa baadhi ya tabia za Introvert haziwezi kuwekwa katika kundi la magonjwa ya akili?
Mfano kujiona na kuamini yeye ni mtu muhimu na mwenye heshma zake katika jamii na sometimes hana vhochote akifanyacho.
 
But tuna ile halii watu wasipokua waelewa mfano labda umewapa amri fulani hivi waifuate,then wakapuuza huwa tunakuja na maamuzi magumu yasio na huruma ndani yake japo mwishon huwa tunajutia tulichokifanya!!
Nilikua kiranja kuna dogo kavusha msosi alie bwenini, kumzuia akadai anafuata blueband kwakua nilikua nayo nikamuwekea ili asiende bwenini, bwana weeeh siakajifanya mbishi... sintosahau maishani kilichotokea, na sikufukuzwa kwa vile dogo alikua anajulikana kiburi but mpaka leo natamani nikutane nae nimuombe msamaha japo sijui kama anakumbuka au la maana ni miaka 15 hivi imepita.
 
Back
Top Bottom