Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Swala la mikopo weng hawajui na weng wanafikiri kukatwa kidogo kwa muda mrefu ndio nafuu kumbe anaumizwa pasipo kujua.

Wengi wanakopa pasipo kupata ushauri toka kwa wataalamunwa fedha na benk walio huru(nje na taasisi alolenga kukopa)
 
Kuna benki moja wana 13%.

Ila nikushauri ktk maisha kuwa na marafiki wa kada mbalimbali hutojutia.
 
Shida ipo kwenye top up, ukifanya top up kwenye mil 6, wanakupa mil 2. Hiyo mil 2 itasababisha ulipe mil 16. Hivyo kama ulikopa mil 10 watachukua mil 4+16= 20 mil. Chanzo chao Cha biashara ni mil 12 tu.
NA. (Not Applicable )


Hadithi
 
Mie nashauri Kwa mwenye malengo kopa fanya malengo hatuna bima za maisha unaweza ajiriwa ukafa ndani ya miaka miwili na hujafanya kitu

Kujichanga mdogo mdogo ni ngumu sanaa hasa hasa ukitaka kujenga huwezi toboa kirahisi lazima ukope tu
Issue siyo kukopa.

Mkopeshaji ni nani na ana masharti yapi? Mkopaji una masharti yapi? Acha kwenda kwa Lender na expectations za kijinga kichwani.
 
Kwahyo kuliko kufanya top up bora ukope benki ingine incase umebanana nashida??asante kwa ushauri lkn mkuu.
 
Daahhh,aiseee,kwahyo badala ya kufanya top up kupitia the same bank bora ukakopa bank nyingine ukawa namadeni mawili kupitia benki tofauti ???kama umebanwa nashida.
Ndio mzee, kama utakuwa umebakiwa na kiwango(Tsh) cha kuweza kukopea.(refer 1/3ya mshahara inatakiwa ubaki nayo).

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Wafanyakazi wasipo kopa mabenk yanafungwa.
Au waje na njia nyingine ya kupata hela
 
Jamaa yangu amefungiwa huduma ya salary advance na NMB kisa amekopa benki nyingine tofauti na NMB ...ILA mshahara wake unapita NMB...
wakuu hii imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…