National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
😅😅.. salama zimefikaaa , anakusalimia sana hapaMsalimie yule mchumba bwana shem🥱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅.. salama zimefikaaa , anakusalimia sana hapaMsalimie yule mchumba bwana shem🥱
Kheeee hayo ndo magaidi kabisa ningekuwa na mamlaka ningezuia wasifanye kazi zao ndani ya mipaka ya TanzaniaBora bayport [emoji41][emoji41]
Nimechukua mkopa crdb wa million sita Kwa muda wa miaka miwili kila mwezi nakatwa 294000, Nitakuwa nimerudisha 7,056,000/=You are right mkopo sahihi na usio umiza ni wa miaka miwili yaani 24 months,mkopo mrefu ni hasara kwa bank na pia kwa mteja you have to know this
Bank zitakufaa acha tuendelee kunyoroshwaKweli, Mimi naona kungekuwa na utaratibu wafanyakazi wa serikali wote wawe wanakopa hazina
That's good hapo haujaumia sana,yaani ukipiga total cost of loan ni ndogoNimechukua mkopa crdb wa million sita Kwa muda wa miaka miwili kila mwezi nakatwa 294000, Nitakuwa nimerudisha 7,056,000/=
Yaani riba yao itakuwa ni 1,056,000
Itakuwa alibadili pia na bank ya kupitishia huo mshaharaJamaa yangu amefungiwa huduma ya salary advance na NMB kisa amekopa benki nyingine tofauti na NMB ...ILA mshahara wake unapita NMB...
wakuu hii imekaaje?
Labda mshahara wake ni mdogo hautoshi hayo makato ya 285, 251 kwa mwezi.Yaani mkopo wa milioni 6 kwa miaka 8 huyo jamaa ni mpuuzi [emoji2][emoji2957] si achukue miaka miwili atakatwa kila mwezi 285,251 kwa miaka miwili na riba itakuwa 846,024 sawa na 6,846,024 kwa riba ya 13% huyo itakuwa mwalimu ndo wanapenda shida[emoji23][emoji23]
Hiyo mikopo ni kausha damu na inawezekana wakubwa wa serikalini ndo wamiliki waSerikali wasaidieni watumishi kukopa hazina wataboresha huduma.
Million dollar adviceShida huwa haziishi Ben, usipende kukopa kutatua shida. Penda kufanya saving ili utatue shida zako.
Kwa bahati mbaya sitoweza kulijibu swali lako.
Huu ni mkopo mtamu usioumizaNimechukua mkopa crdb wa million sita Kwa muda wa miaka miwili kila mwezi nakatwa 294000, Nitakuwa nimerudisha 7,056,000/=
Yaani riba yao itakuwa ni 1,056,000
Serikali kuingilia kati? Benki zinafanya biashara.Ni wizi! Ikizingatiwa kuwa mikopo ya watumishi ni RISK FREE! Riba inapaswa kuwa chini ya 10%. Mikopo ya biashara INA mapichapicha kibao, na riba zake ni kiduchu.
Serikali inapaswa kuingilia Kati ili angalau watenda kazi wake wapate ahueni kiuchumi na kijamii (kejeli), kukopa vibanda imiza n.k
Kigezo cha kuipata hiyo ya hazina ni kipi?Serikali kuingilia kati? Benki zinafanya biashara.
Kuna mikopo ya hazina (haina riba). Kuna mikopo fulani una riba ya 6% .
Siyo lazima ukope.
Ongea na mkuu wako wa kitengo cha rasilimali watu.Kigezo cha kuipata hiyo ya hazina ni kipi?
Kama una taarifa zake naomba utusaidie
Unamaanisha zile ambazo huwa zinaletwa zikiwa zimepangwa kiasi na BOT? Sasa zile ikija kama ni taasisi mnapangiwa kikomo, kwahiyo mtagawana kulingana na idadi ya walioomba.Ongea na mkuu wako wa kitengo cha rasilimali watu.