Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

You are right mkopo sahihi na usio umiza ni wa miaka miwili yaani 24 months,mkopo mrefu ni hasara kwa bank na pia kwa mteja you have to know this
Nimechukua mkopa crdb wa million sita Kwa muda wa miaka miwili kila mwezi nakatwa 294000, Nitakuwa nimerudisha 7,056,000/=
Yaani riba yao itakuwa ni 1,056,000
 
Azania kwa riba naona wanaongozaga wengine wanajikongoja!

Nilipokuja kusikia inamilikiwa na mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo kimsingi ni ya wafanyakazi nilichoka [emoji848][emoji848]

Kwamba kama ndivyo Kwanini riba iwe ya kubwa kupita kiasi?
 
Yaani mkopo wa milioni 6 kwa miaka 8 huyo jamaa ni mpuuzi [emoji2][emoji2957] si achukue miaka miwili atakatwa kila mwezi 285,251 kwa miaka miwili na riba itakuwa 846,024 sawa na 6,846,024 kwa riba ya 13% huyo itakuwa mwalimu ndo wanapenda shida[emoji23][emoji23]
Labda mshahara wake ni mdogo hautoshi hayo makato ya 285, 251 kwa mwezi.
 
Ni wizi! Ikizingatiwa kuwa mikopo ya watumishi ni RISK FREE! Riba inapaswa kuwa chini ya 10%. Mikopo ya biashara INA mapichapicha kibao, na riba zake ni kiduchu.
Serikali inapaswa kuingilia Kati ili angalau watenda kazi wake wapate ahueni kiuchumi na kijamii (kejeli), kukopa vibanda imiza n.k
 
Serikali kuingilia kati? Benki zinafanya biashara.

Kuna mikopo ya hazina (haina riba). Kuna mikopo fulani una riba ya 6% .

Siyo lazima ukope.
 
Lakini miezi 96 ni mingi sana kama una malengo ndani ya mwaka moja kama upo vzri hiyo pesa unarudisha ..... sasa fikiria una zungusha almost mika 7+ huoni kama muda ni mzuri japo riba nayo imechangamka ...... kama unaona hiyo ni ngumu jiunge vikoba
 
Back
Top Bottom