Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mjaa laana[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona wenzenu hatupasahaugi kwetu
 
Amesahau ile skendo ya Mh. Juma Kapuya na yule Binti wa Mtaani?
 
Alirudi enzi ya JK...
Ingekuwa enzi ya JIWE thubutuuu...
 
Mbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...

Exposure ya watu wengine iangalie tu uwaache na hajui kama south hawashoboki na hizo V8 angezungumzia rover au BMW au VW hapo sawa na wengi ukiona anaandika hivo hata Durban yenyewe haijui, wako mawaziri wanakula malaya wanaojiuza na hakuna cha ajabu hapo afu mayor ni mtu wa kawaida kwa nchi kama south
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndo aliponichosha... watu ukute hata kupanda ndege kama miye tu huku ila ndugu zao wakiwasimulia ndo kuka kututolea nyongo sisi na nishai
 
Story zimekua nyingi sana kwenye huu uzi. Pia kuna wajuaji wengi sana wameibuka.
 
Kwa hapa TZ unapajua pahala panaitwa who told you huko Mbezi..??? Unajuwa nani walikuwa wanakwenda pale kula vitoto vya kiswahili kwa kukutanishwa nao hapo..?? Mkuu, vyeo haviondo hamu ya kugegedana na yeyote.. ONLY process tu ndo itatofautiana kati yetu.. Wengine wanatuma watu na wengine mnaingia wenyewe front... Wengine wanaambiwa kula life ila acha fyokofyoko.. Full stop... Acha LIGI za kisela mavi
 
Story zimekua nyingi sana kwenye huu uzi. Pia kuna wajuaji wengi sana wameibuka.

JF imekua tofauti sana sikuhizi.
bro wasamehe tu watu wanarelease stress zao na tension za maisha kikubwa Uvumilivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…