cleoalchemy
Senior Member
- Nov 30, 2019
- 126
- 118
aisee konda msafi khumbu bado yupo hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mjaa laana[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mkuu najua nyumbani ni nyumbani tu sasa nakuuliza hivi raha zooote hizo unarudi Mbagala kunako madmbwi ya maji kweli?
kwetu kamunyonge Musoma lkn nilivoonja utamu wa Dar sinza. Yaani niliona kila siku ni sherehe kwangu .mpaka nikapata shule ndo kabisaaa kwani nilipa kumbuka tena kamunyonge!!
Sasa wee kwa maisha ya south kwa style uliyo simulia siyo rahisi kuyaaacha eti uje uishi na hili lisukuma lenye kinyongo na mpaka kwa maskini.
hata km unaishi masaki. Vinginevyo tukupime akili kwani hapo south na mtwara pana umbali gani?
Ukivuka ka nchi kamoja tu ka Msumbiji ni umefika eti unakuja kufa njaa hapa kweli?
sema ukweli wako umesimuliwa wewe na wajanja!! Haiwezekani uache unono eti wende ukafe njaa mbagala. Kule migari mikali ni poa sana una pack uani tu.
Magu mwenyewe anaogopa kuishi kwao na maskini kucha kutwa Yuko Dar. Umaskini unatisha watu wenye akili wewe! Husisimka mwili Japo hawawezi kukuroga tena.
Hapo kenya tu. Watu wanarudi bongo kwa mapozi sembuse south. Uache tape water inayo tiririka km maji ya kilimanjaro,misosi mizuri mizuri.watoto wazuri wazuri.migari bwena kazi nzuri?.. tena na covid hii watu wanahitajika kikazi sana.
Japo basi ukachunge mifugo wa masettler inalipa kuliko kulipwa bongo!!!
Km vipi si ungeenda hata hapo kingdom of Lesotho ujipange upya? Ni pazuri pametulia
Ila nilikuaga nampenda uncle Thom jaman. Tomas jaman.... japo siyo fan wa gunners. Huyu mbabu yuko wapi siku hizi anko Tom wangu?[emoji23]nG'aMBu shekhe njoo tujaribu hapa episode ya pili tunaweza pata kitu.
Yupo kwao Prague anakula pension, already retired!Ila nilikuaga nampenda uncle Thom jaman. Tomas jaman.... japo siyo fan wa gunners. Huyu mbabu yuko wapi siku hizi anko Tom wangu?[emoji23]
Amesahau ile skendo ya Mh. Juma Kapuya na yule Binti wa Mtaani?We jamaa nimekuona muda kidogo unaleta ligi zisizokuwa na mpango. Hivi kwa akili yako unadhani Mayor ni nani au huyo Governor wa Washington au London kutokutana na watu wa hali ya chini!? Ama unadhani kukutana na watu wa hali ya chini inachukua muda gani hata kujamiiana nao!? Hakuna Waziri Mkuu wa Uingereza aliwahi kujiuzuru baada ya kununua kahaba kwenye viunga vya London!? Au unadhani ukiwa Mayor, Governor au vyovyote vile kwa cheo unakuwa huna muda wa kufurahia maisha binafsi!?
Unajisifu kuzaliwa Dar na kukulia Dar na kuwa na exposure huko duniani, wewe ni kama wengine tu wanaopata kielimu kidogo wanakuja kuona hata wazazi wao ni Najisi kwa sababu tu hawakusoma. Ninakoishi mimi ninaishi na watu wazito wengi tu ila wana maisha ya kawaida mno katika kujamiiana na watu. Acha umasikini wa fikra
Kumbe n ww mdau wa Isidingo eee. Yah haikua njema ile kitu ilimuumiza Sibeko. Halafu anarudi anasema anampenda bado kweli sie wanawake hatujui tunataka niniNilimmaind sana alivyomtelekeza na kumuumiza Lincoln Sibeko.
@hesabu900Hesabu900,Hesabu900,Hesabu900 jitathimini.
Sechaba Moloi Mathabane...Kwa Meya Sheshaba...ukimuona Lungi nishtue.
Alirudi enzi ya JK...Daaaa!! Mkuu ukaacha kabisaa???!!! Na mshahara mnono??
Jumba zuri eti Uje hapa jua kali hivi?? jamani weee!!!ayayayaaa!!!!
wewe uliitwa home kwenu kichawi najua wazigua/waha/wasukuma wanazijua sana hizi dawa za mwito.wewe hukosi hayo maka bila.
Hata kama mtu alikutishia kukuua hallow! unakufa wewe kwanza hata iweje!! Maisha ya South raha bana. Unaweza sahau chupi!
Mkuu achana na uzungu kapige ramli kuna kitu kimekukalia vibaya
HahahahhahaaKama ulikaa darasani itakuwa ulikuwa unaelewa kwa shida sana au ulipiga chini asubuhi tu
Mbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...
Yah.. nakumbula alitetire... he gave us the good memmories.Yupo kwao Prague anakula pension, already retired!
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndo aliponichosha... watu ukute hata kupanda ndege kama miye tu huku ila ndugu zao wakiwasimulia ndo kuka kututolea nyongo sisi na nishaiExposure ya watu wengine iangalie tu uwaache na hajui kama south hawashoboki na hizo V8 angezungumzia rover au BMW au VW hapo sawa na wengi ukiona anaandika hivo hata Durban yenyewe haijui, wako mawaziri wanakula malaya wanaojiuza na hakuna cha ajabu hapo afu mayor ni mtu wa kawaida kwa nchi kama south
Kwa hapa TZ unapajua pahala panaitwa who told you huko Mbezi..??? Unajuwa nani walikuwa wanakwenda pale kula vitoto vya kiswahili kwa kukutanishwa nao hapo..?? Mkuu, vyeo haviondo hamu ya kugegedana na yeyote.. ONLY process tu ndo itatofautiana kati yetu.. Wengine wanatuma watu na wengine mnaingia wenyewe front... Wengine wanaambiwa kula life ila acha fyokofyoko.. Full stop... Acha LIGI za kisela maviBut still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
bro wasamehe tu watu wanarelease stress zao na tension za maisha kikubwa Uvumilivu tuStory zimekua nyingi sana kwenye huu uzi. Pia kuna wajuaji wengi sana wameibuka.
JF imekua tofauti sana sikuhizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natafuta reply ya hesabu2000!! Kachakazwa Uzi anauona kama covid19!!