Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Uzi umeshaingiliwa na wachawi....kibaya zaidi wameshamroga mleta story na Mambo yao ya michango....Kama vipi nendeni telegram huko ..
 
yaani km ulikuwepo vile wale malaya bana ni usiseme tuu yaani ni km wana kismati flani hivi au niseme kizizi vile!!!

vile yaani ukipiga mmoja tu.pesa ma vyeo mimali. hayooooo! Ukionja mara moja huachiii km mimi muongo jaribu tu uone hata kwa mkopo hela utazopata utarudi mwenyewe halafu hawana tabu kukopesha ili mradi uwe mkweli.
Unadhani kwa nini wapo Duniani kote tangu zama za Yesu?

Hata km serikali izuie vepe mfano
Na mwanafunzi wake yesu mpendwa sana na wa pekee aliye muona tit for tat wakt wa kufufuka kwake? Alikuwa na historia hii! Sasa jiulize..

Wale wasiOkuwa malaya wasafi machoni pa watu hawakumuona? Walisikia tu kuwa kafufuka!!!!! Why? Ajabu wengine km peter hawakumuamini ki viile?
Angalia historia yake wamemuandika kiiidooogo sana. Hata shuhuda zake hazipo ila vatican utazikuta kibao.

Halfu km walikuwa hawampendi pendi hivi! Lkn Yesu mwana wa Mungu baba alim mind sana tena sana.jrbu kupitapita huko ulete ushuhuda hapa.

Hakika kumbu alikuwa na kitu cha maana bin kismart huyu dogo mleta mada hakujua tu. Si unaona alipata shule fresh! Akapendwa na watu wenye nazo kiubwete hawakumtilia shaka!!! akaishi mjengo wa maana akala vyao akashikwa na polisi na kidhiti juu lkn hola! Wakamuona msafi tu!!! Hii yote malaya kumbu kismatiiiiii!!!
 
Ifike mahali Moderator s mtuwekee option ya kufuta,kublock baadhi ya watu wasione nyuzi zetu tena,kufuta comments zao kwenye nyuzi zetu,na msichague wa kuwapiga barn... kuna comments nmesoma hapo juu mpaka nimejisikia hasiria na sijaambiwa mimi, tuwe na stara jamani,tena watoto wa kiume ndo wamekua ma wack vibaya mno
Kama mtu unahisi unaganganywa, au unatapeliwa kuna ulazima wa wewe kutoa maneno machafu? kwa nini usiwaache walikubali Kutapeliwa na kudanganywa waendelee??
 
Nasisitiza tutafute hela, ukiwa na hela huwez kulia lia hivi..
 
Mpoje nyie watu hamna mtu aliyeshikwa fimbo humu achange kilazima
 
Hawa watu usiwajibu kabisa tuachie sisi unachotakiwa wewe ukiingia ni kutupia story
 
Yani wanawake sijui mnawazaga nini, ndio maana ninyi ndio mnaongozwa kutapeliwa kila kona kwa ajili ya kufikiria kwa kupitia makalio, wanaosema ukweli ni wanaume na wanatumia akili kufikiria sio ninyi mnasema mkitapeliwa poa, daaah siku ingne tumia akili bhana wanawake hata kipisi cha kanga mmeshaonga kura, huko makanisani ndio mtatajirisha watu...lala kidg
 
Nasisitiza tutafute hela, ukiwa na hela huwez kulia lia hivi..
Sema nikulipie uendelee kuwa zezeta wa vistory uchwara, yani jinsia ya kike ndio maana hamuishi kutapeliwa na kuibiwa mali zenu kizembe, mnatumiaga makalio kufikiria...jitahdini muanze tumia akili
 
Africa roho mbaya ya kwa nini! na uchoyo, havitaisha.

Walio weka mitandao Yaani wazungu wanampenda kila mtu na kila kitu! Na daima dumu watakuwa juu tu!

Ndo maana jiwe lina wanyorosha munyoroke na mtanyoroka kweli.

Wenye roho nzuri km Waridi la kondeni tupo wachache mno Africa mnaweza kutuhesabu mfano ni mimi na... Hebu jitajeni basi jamani khaa!...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenye tukuyu kiss
Subiri mpaka nikumbuke
 
Mkuu mbona wakati unaanza ulikua unatupia mchana asubuhi jioni?
Hebu weka mambo acha kulia lia mzee. Kama unaamua kuweka weka kama umesusa susa. Ila sio kutuletea miyayusho kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…