Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ww hauijui hiyo wanayoita frenchi kisi nije unifundishe?Hakuna aliyelazimishwa kuchanga Jamani..Kama hamjisikii ni Bora mpige kimya..povu la nini wahegoo😂😂..tulieni basi
yaani km ulikuwepo vile wale malaya bana ni usiseme tuu yaani ni km wana kismati flani hivi au niseme kizizi vile!!!Exposure ya watu wengine iangalie tu uwaache na hajui kama south hawashoboki na hizo V8 angezungumzia rover au BMW au VW hapo sawa na wengi ukiona anaandika hivo hata Durban yenyewe haijui, wako mawaziri wanakula malaya wanaojiuza na hakuna cha ajabu hapo afu mayor ni mtu wa kawaida kwa nchi kama south
Subiri kwarezma iishe.Hivi ww hauijui hiyo wanayoita frenchi kisi nije unifundishe?
Ooh sorry asee... Hivi kumbe imeshaanza, kweli napitwa na mengiSubiri kwarezma iishe.
Kinacho kuuma ni kupenda mteremko... Vitu vingine potezeaga tu...hujachangia bado tena utokwe na povu, bado hujakuta na mzee covid nae....punguza jazba mkuu na sign out tu.Hizi Ni njaaa....WAIMBA MAPAMBIO NI WENGI MAANA MNAJIANDAA KUTUNGA STORY ZENU MJE MCHANGIWE HELA YA BANDO[emoji625]
Nasisitiza tutafute hela, ukiwa na hela huwez kulia lia hivi..Siulisema story imeishia pale, sasa utakuja malizia nini tena chief, hizo ni pigo za kiwaki mtoto wa kiume unataka ubembelezwe na ulijileta na story yako mwenyewe huku haukuombwa, kausha tu...usimalizie jamaa,..haituletei pesa wala comfort yoyote, au acha wakushike videvu vidada vya jf usikie raha.
matoto au watoto?achana na huyo ...Hilo ndo Yale matoto yanaitwa JUNIOR...huyo tuachie wenyewe tumalizane nae...stay focus ....
Asante mkuu nichangie tu hakuna shida pamoja nimeshachangaNaomba nikuchangie
Mpoje nyie watu hamna mtu aliyeshikwa fimbo humu achange kilazimaNAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
Hawa watu usiwajibu kabisa tuachie sisi unachotakiwa wewe ukiingia ni kutupia storyHabari wakuu? Hii stori nitaimalizia japo kuna baadhi ya watu ustaarabu kwao ni zero. Kuandika stori ndefu kama hii natumia muda wakuu. Kama nilivyosema tokea awali sikutegemee kama ningetumia muda mrefu kuimaliza, nadhani nilikuwa nimei-underestmate. Anyway mniwie radhi, nitaimalizia. Nina majukumu pia jamani. Ila wabongo mbona mnakuwa hivi? Kuna watu nimesoma comments zao kama una roho nyepesi unaachana na stori yenyewe.
Asante mkuu nichangie tu hakuna shida pamoja nimeshachanga
Yani wanawake sijui mnawazaga nini, ndio maana ninyi ndio mnaongozwa kutapeliwa kila kona kwa ajili ya kufikiria kwa kupitia makalio, wanaosema ukweli ni wanaume na wanatumia akili kufikiria sio ninyi mnasema mkitapeliwa poa, daaah siku ingne tumia akili bhana wanawake hata kipisi cha kanga mmeshaonga kura, huko makanisani ndio mtatajirisha watu...lala kidgIfike mahali Moderator s mtuwekee option ya kufuta,kublock baadhi ya watu wasione nyuzi zetu tena,kufuta comments zao kwenye nyuzi zetu,na msichague wa kuwapiga barn... kuna comments nmesoma hapo juu mpaka nimejisikia hasiria na sijaambiwa mimi, tuwe na stara jamani,tena watoto wa kiume ndo wamekua ma wack vibaya mno
Kama mtu unahisi unaganganywa, au unatapeliwa kuna ulazima wa wewe kutoa maneno machafu? kwa nini usiwaache walikubali Kutapeliwa na kudanganywa waendelee??
Sema nikulipie uendelee kuwa zezeta wa vistory uchwara, yani jinsia ya kike ndio maana hamuishi kutapeliwa na kuibiwa mali zenu kizembe, mnatumiaga makalio kufikiria...jitahdini muanze tumia akiliNasisitiza tutafute hela, ukiwa na hela huwez kulia lia hivi..
Africa roho mbaya ya kwa nini! na uchoyo, havitaisha.Ifike mahali Moderator s mtuwekee option ya kufuta,kublock baadhi ya watu wasione nyuzi zetu tena,kufuta comments zao kwenye nyuzi zetu,na msichague wa kuwapiga barn... kuna comments nmesoma hapo juu mpaka nimejisikia hasiria na sijaambiwa mimi, tuwe na stara jamani,tena watoto wa kiume ndo wamekua ma wack vibaya mno
Kama mtu unahisi unaganganywa, au unatapeliwa kuna ulazima wa wewe kutoa maneno machafu? kwa nini usiwaache walikubali Kutapeliwa na kudanganywa waendelee??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenye tukuyu kissdaaaam! nimerud kusoma upya....sisi wenye tukuyu kiss inabd tujifunze french aisee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]part ingine alivyoenda gheto kwa msela akakuta wameharibu dirisha jamaaa alikua anahofu khumbu atamaind ila kinyume na matarajio khumbu wala haku worry
...
that was real love
em kumbuka ingine shunie
Mkuu mbona wakati unaanza ulikua unatupia mchana asubuhi jioni?Habari wakuu? Hii stori nitaimalizia japo kuna baadhi ya watu ustaarabu kwao ni zero. Kuandika stori ndefu kama hii natumia muda wakuu. Kama nilivyosema tokea awali sikutegemee kama ningetumia muda mrefu kuimaliza, nadhani nilikuwa nimei-underestmate. Anyway mniwie radhi, nitaimalizia. Nina majukumu pia jamani. Ila wabongo mbona mnakuwa hivi? Kuna watu nimesoma comments zao kama una roho nyepesi unaachana na stori yenyewe.