konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #2,861
Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.Konda unaumbuka sababu ya kurefusha story .watu watahisi kila kitu cha uongo sababu ya picha fake ya khumbu,wabongo ni nyokko
Mkuu hujashtua hata kimoja cha fasta kibaharia?Hii picha nikascreenshot kabisa usiku ni ifanyie mchakato, kumbe ni kumbu faki[emoji849][emoji849][emoji849][emoji22][emoji22]View attachment 1714793
Hiyo picha iko wapi?mbona haionekani?Tatizo wabongo wengine wajuaji sana. Sasa kama mnamjua Khumbu si mumuweke sasa?
weye ambae akili zako unazitumia kwny mambo ya msingi ushatengeneza nyuklia ngapi mpaka sasa?Wabongo kwenye Mambo ya kipuuzi tulisha shindikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi hizo akili mngekua mnazitumia kwenye Mambo ya msingi si tungekua na makombola yetu ya nyuklia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama unataka kususa susa tuuJamani tulikubaliana nikiwawekea picha ya Khumbu na stori inaishia hapo, si ndio? Picha nishaweka kwa hiyo stori ishaisha wakuu. ...Nawatania jamani stori nitaimalizia. Tatizo kuandika kunatia uvivu sana halafu inakula muda sana.
Mkuu hii picha moja ya Khumbu sio chochote si lolote..leta nyingine hata mbili hivi,pia pandisha nyingine ya Amina tumdokolee macho mkuu..This is not a command though,ni ombi tu.Jamani tulikubaliana nikiwawekea picha ya Khumbu na stori inaishia hapo, si ndio? Picha nishaweka kwa hiyo stori ishaisha wakuu. ...Nawatania jamani stori nitaimalizia. Tatizo kuandika kunatia uvivu sana halafu inakula muda sana.
Pich ipo coment ya ngap mkuu mbona sijaona,,Jamani tulikubaliana nikiwawekea picha ya Khumbu na stori inaishia hapo, si ndio? Picha nishaweka kwa hiyo stori ishaisha wakuu. ...Nawatania jamani stori nitaimalizia. Tatizo kuandika kunatia uvivu sana halafu inakula muda sana.
Wabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.Mkuu hii picha moja ya Khumbu sio chochote si lolote..leta nyingine hata mbili hivi,pia pandisha nyingine ya Amina tumdokolee macho mkuu..This is not a command though,ni ombi tu.
Wabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.
Sina uhakika mkuu ngoja nifute hiyo comment kama ndio kumbu mwenyewe haina shida, kifupi tumesha mfahamWabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.
Hapana ndugu siunajua jana ilikuwa siku ya kubet nguvu zote zapotelea hukoMkuu hujashtua hata kimoja cha fasta kibaharia?
Hiyo picha iko wapi Konda?Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
Kwani we sandile uwe na uhakika?!Sina uhakika mkuu ngoja nifute hiyo comment kama ndio kumbu mwenyewe haina shida, kifupi tumesha mfaham
Mkuu kwenye stori sijaelezea kila kitu. Ningesema nielezee kila kitu nadhani hata mwaka ungeisha sijaimaliza hii stori. Mara nyingi tu nilikuwa namchimba mkwara anakuja anakimbia. Hata akiwa wapi nikimhitaji lazima aje. Halafu pia usisahau kuwa mapenzi huwa yanachuja, mtu anakuzoea anakuona wa kawaida tu. Halafu mapenzi hayana baunsa mkuu. Unaweza ukajimwambafy hapa kuwa huwezi kuwa boya wa mapenzi ila akipatikana mjanja wako anakunyoosha kisawasawa. Moyo ukipenda mkuu ni shughuli pevu kujinasua.Mkuu KONDA MSAFI kuna mawili, either una kaulofa/Kaufala/kauboya flani hv personal au Ulirogwa na huyo Khumbu, maana hakuna mtu/mwanaume aliye timamu 100% anayeweza kukubali kuendeshwa na mwanamke kiasi hicho kama yaliyokukuta wewe.