Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Konda unaumbuka sababu ya kurefusha story .watu watahisi kila kitu cha uongo sababu ya picha fake ya khumbu,wabongo ni nyokko
Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
 
Wabongo kwenye Mambo ya kipuuzi tulisha shindikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi hizo akili mngekua mnazitumia kwenye Mambo ya msingi si tungekua na makombola yetu ya nyuklia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
weye ambae akili zako unazitumia kwny mambo ya msingi ushatengeneza nyuklia ngapi mpaka sasa?
 
Khumbu kwenye akili yangu ilikua nimemchora Kama dem flan hivi mwenye uzuri wa asili uliyo undwa kwa ngozi rangi ya chocolate, macho ya mviringo akikuangalia kama anasinzia, nywele za singa singa, tabia ya upole umbo namba 8, tako lina ning'ing'inia, kiuno kama chupa ya fanta orange take away, chuchu saa 6 zinazo choma bila kuumiza[emoji39][emoji39][emoji16][emoji16] dah aise kumbe hata siyo
 
Jamani tulikubaliana nikiwawekea picha ya Khumbu na stori inaishia hapo, si ndio? Picha nishaweka kwa hiyo stori ishaisha wakuu. ...Nawatania jamani stori nitaimalizia. Tatizo kuandika kunatia uvivu sana halafu inakula muda sana.
 
Kama unataka kususa susa tuu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani tulikubaliana nikiwawekea picha ya Khumbu na stori inaishia hapo, si ndio? Picha nishaweka kwa hiyo stori ishaisha wakuu. ...Nawatania jamani stori nitaimalizia. Tatizo kuandika kunatia uvivu sana halafu inakula muda sana.
Mkuu hii picha moja ya Khumbu sio chochote si lolote..leta nyingine hata mbili hivi,pia pandisha nyingine ya Amina tumdokolee macho mkuu..This is not a command though,ni ombi tu.
 
Pich ipo coment ya ngap mkuu mbona sijaona,,
 
Mkuu hii picha moja ya Khumbu sio chochote si lolote..leta nyingine hata mbili hivi,pia pandisha nyingine ya Amina tumdokolee macho mkuu..This is not a command though,ni ombi tu.
Wabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.
 
Sina uhakika mkuu ngoja nifute hiyo comment kama ndio kumbu mwenyewe haina shida, kifupi tumesha mfaham
 
Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
Hiyo picha iko wapi Konda?
 
Mkuu KONDA MSAFI kuna mawili, either una kaulofa/Kaufala/kauboya flani hv personal au Ulirogwa na huyo Khumbu, maana hakuna mtu/mwanaume aliye timamu 100% anayeweza kukubali kuendeshwa na mwanamke kiasi hicho kama yaliyokukuta wewe.
 
Mkuu kwenye stori sijaelezea kila kitu. Ningesema nielezee kila kitu nadhani hata mwaka ungeisha sijaimaliza hii stori. Mara nyingi tu nilikuwa namchimba mkwara anakuja anakimbia. Hata akiwa wapi nikimhitaji lazima aje. Halafu pia usisahau kuwa mapenzi huwa yanachuja, mtu anakuzoea anakuona wa kawaida tu. Halafu mapenzi hayana baunsa mkuu. Unaweza ukajimwambafy hapa kuwa huwezi kuwa boya wa mapenzi ila akipatikana mjanja wako anakunyoosha kisawasawa. Moyo ukipenda mkuu ni shughuli pevu kujinasua.
 
Back
Top Bottom