Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Picha nami nimeitafuta fb mpka nimeipata sasa ilikua ktk page na mule kuna pisi tofauti fofauti kinachofuata ni kutag iyo face mapaka tumjue
 
Makombora ya nyuklia ya kazi gani? Mabomu ya kawaida tu yanatushinda kuyatunza yanatulipukia gongo la mboto
 
Wabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.
Konda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?

Vv
 
Mkuu nadhani wewe hujasoma mwanzo wa stori. Jaribu kusoma kuanzia mwanzo utapata jibu.
 
Konda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?

Vv
Kukusaidia alikwenda kule kufanya kazi kihalali na document zote alikua nazo sasa akawaomba ajiendeleze kielimuu akafanikiwa kusoma ordinary akafaulu akajiunga advance then chuo
 
Konda unaumbuka sababu ya kurefusha story .watu watahisi kila kitu cha uongo sababu ya picha fake ya khumbu,wabongo ni nyokko
Jamaa awaulize tamisemi,walichokipata,wabongo kwenye sm wapo dunia nyingine
 
Konda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?

Vv
Soma story yote
 
Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
Hahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…