EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kausha basi mkuu.Durban university of technology 201....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Usiache konda msafi(t.......) ,malizia storySasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Leo tumeamua km sandle amepatikana team ya jf iko mbioni kumleta khumbu aje ajibu mashitaka ya jaribio la kuua Mtanzania kwa kukusudia !!!!!!!Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Mkuu. Tumia codes kwa baadhi ya matukio muhimu. Ili kuwalinda wahusika wote wa storySasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Ongeza usiriSasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Ongeza usiri
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Nakazia.I love seeing men madly inlove like this. They become soo cute[emoji3059]
Naomba usiache tasavali....Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Naona ni nzuri... Inafaa kwa Weekend[emoji23][emoji8][emoji8][emoji8]
Hata mimi nimeiona naipotezea, storee tamu?
Ila hii mpaka nitoke job jioni ntaikalia kikao, ila comment nyingi balaa[emoji16][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wanazingua kinoma..Hawa ndiyo Hufanya watu kughairi muendelezo wa story.Naomba tu waitoe picha ya mwanangu Sandile. Wakimpa Khumbu sawa wanaweza kumuweka hapa ila mwanangu Sandile hapana. I feel bad.
Umeonaaaaa ehee
Ushasema ni mwandishi hadi gazeti alilokua anafanyia kazi imekua rahisi kumzoom tokea bongo ila i think it's not deep down the storySasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Lete story unaanza jeuri eeeehNaomba tu waitoe picha ya mwanangu Sandile. Wakimpata Khumbu sawa wanaweza kumuweka hapa ila mwanangu Sandile hapana. I feel bad.