Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mleta mada ulikuwa teja wa khumbu
Mleta mada khumbu aliutwaa ubongo wako akakuwekea ukawa unaitumia kufikiri ikiwa kama ndio ubongo wako.

Hapa nimefungasha mizigo yangu naelekea kwa madiba, baada ya kusoma uzi wako nimeazimia nihamishie Makazi yangu huko. Pengine na mimi siku moja nitaleta visa nitakavyokutana navyo huko
 
Nimetia kambi Hapa kwa wiki sasa kuendelea kufuatilia taarifa za Khumbu aliyetaka kutupotezea uhai wa mtanzania mwenzetu

Katika hili siwez kulifumbia macho lazima tumtafute Khumbu kwa gharama yeyote ile TUTAUNDA TEAM YA WATU SITA KUFUATILIA TAARIFA ZA HUYU BINTI NDANI YA MASAA 74
 
Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Usiache konda msafi(t.......) ,malizia story
 
Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Leo tumeamua km sandle amepatikana team ya jf iko mbioni kumleta khumbu aje ajibu mashitaka ya jaribio la kuua Mtanzania kwa kukusudia !!!!!!!
 
Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Ushasema ni mwandishi hadi gazeti alilokua anafanyia kazi imekua rahisi kumzoom tokea bongo ila i think it's not deep down the story

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom