Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Very True Mkuu
 
Hili mara ya kwanza nimelishuhudia Bukoba. Jamaa yetu aliyekuwa anamega akaanza kumwambia, daah "N" utatuua 🤣🤣🤣
 
Leo tumeamua km sandle amepatikana team ya jf iko mbioni kumleta khumbu aje ajibu mashitaka ya jaribio la kuua Mtanzania kwa kukusudia !!!!!!!
Naahidi ndugu zangu Mimi kama katibu mkuu naahidi kumleta huyo mama aliemtesa ndugu yetu

Khumbu khumbu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manzi alikuwa ana wachanganya !?
Yaani mfano demu ni wako. Lakini unashangaa siku nyingine unamwona huyo anakuja anaingia chumba kingine, akitoka macho mekundu.

Maana tulikuwa tunaishi kwenye jengo la ghorofa 4 familia kibao.
 
Never.
 
Yaani mfano demu ni wako. Lakini unashangaa siku nyingine unamwona huyo anakuja anaingia chumba kingine, akitoka macho mekundu.

Maana tulikuwa tunaishi kwenye jengo la ghorofa 4 familia kibao.
Aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi Nina jamaa yangu 1 aliwahi kumcheat manzi wake wa ki-south demu alimvizia jamaa kavua nguo akamchoma na pasi ya Moto mgongoni hakuishia hapo akaenda kupasua na vioo vya gari yake' .... [emoji16][emoji16][emoji16].

Wana kufanyia madrama halafu hakuna utakacho mfanya yaani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmk mapenzi yakikolea unakua chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…