Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Naamini mleta stori anastahili adhabu kali tena haijalishi stori ameamua alete mwenyewe bila kushaishiwa na mtu yoyote au.

Natoa tamko nampa saa 12 kama hatamalizia stori kulingana na matakwa ya wasomaji kitakachomkuta nisije nikalaumiwa .ikiwa huruma yangu itanipendeza zaidi nitaimalizia stori mwenyewe na kutupia picha za khumbu.

Utamu wote huwezi ukageuka chungu ghafla bila maelezo ya kueleweka. eti kisa stori ni ndefu mara ohhh imechukua miaka sita haiwezekani kuilezea kwa siku chache ...nakakaa hilo sio kweli unajua stori ya roma ilichukua zaidi ya miaka 890 lakini ilichukua wiki na siku chache kuiandika.
 
Kama umeamu kukatisha stori sawa maana ni yako.

Ila maliza kuweka picha ya khumbu Basi ili Uzi ufungwe rasmi na wewe iendelee na maisha yako
 
 
Mkuu #kondamsafi SIO KESI FANYA HIVII SISI TUTAKUWA NA PUMZIKO LA MUDA UANDAE EPISODE KAMA 20 BILA KUTUPIA KWA MUDA WAKO THEN ZIKIKAMILIKA KWA SIKU UNATUPIA HATA 3 TUNAZISOMA KESHO TENA 3 HIVYO HIVYO NAAMINI UKIFANYA HIVYO HAUTAKUWA NA PRESHA YAKUANDIKA KILA WAKATI MAANA ZIKIFIKA 20 HUJAZIWEKA NDIO UKAANZA KUTUPIA ITAKUPA MUDA MZURI HATA KWA SIKU UKAWA UNAANDIKA MOJA KUJAZIA HIZO 20 NA MUDA UKAWA NAO WAKUTOSHA KULIKO KUSUBIRIA HIYO HIYO MOJA WATU WAISOME PRESH PRESHA ZA WATU ZITAPUNGUA.
 
Wewe jamaa unaonesha ni Mswahili Mswahili sana wa Mjini utakuwa ni Mjanja mjanja sana.

Nilijua tu ulikuwa umeanza bla bla bla nyingi Mara hivi mara ooh sijui nini nikajua kifuatacho hapa ni Spana tu.
 
Mkuu konda msafi pita hapa
 
Hii ishu imenikumbusha idawa alileta story 2015 ilibaki Kama sehemu mbili tuu akapotea jumla Kila wadau wakimkumbushia Sababu kibao mpaka leo. Huu Ni ukatili. Au ndo nature yetu Watz kuwa hakunaga Jambo tunaanzisha likaisha salama?? Maana hata miradi mingi ya nchi inaishiaga njiani
 
Wewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......! Nimecheka hatari. Mtakuja kuvunja viuno,pigaga tu hiyo hiyo kifo cha mende. Style ya kung'uta siafu, waachie khumbu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Embuuuu...style moja inaboa bwana..Mimi mwenyewe nataka nipigwe miti kwa style mpya uwiiii
 
Naomba nimpongeze konda msafi kwa kutenga mda wake na kutuletea story iliyoweza kuvuta hisia zetu na kuishia hewani na kutuacha dilema,naomba niseme tu kwa wengine Kama mtu unastory ubataka kushea na jamii please hakikisha unaikamilisha, kuaxha njia panda ni kutukosea na kutuadhibu kinafsi Kama alivyotufanyia mheshimiwa hapa,alivyoweza kutukatili nafsi zetu,hivyo ameamu kulipiza kisasialichofanyiwa na khumbu ameamua kutuadhibu ndugu zake[emoji26][emoji26]
 
Kuna siku nilishaomba Mods wampige ban Chizi Maarifa sababu ni kuanzisha stories halafu akijisikia kuikatisha ghafla tu anapotea. Konda Msafi ndio story ni yako ila ingekua bora ukakaa nayo kwenye nafsi kuliko huu utopolo unaotaka kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…