konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #1,601
Acha ushamba wewe. Unajua interval ya hayo matukio?Hii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
Inawezekana 100%..Hii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
Halafu ukiwa unasoma kitu jaribu kusoma between the lines. Kuna sehemu nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala? Tofautisha dereva wa daladalada na mmiliki wa daladala.Hii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
Soma miendelezo kaka mkubwa, jitahidi kusoma comments piaHii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
Mkuu. Ukianza kuhangaikia kujibu kila upupu uakonda. Hawa ni wale ambao wanasoma kwa pupa ili kuja kuku challenge. PuuzaHalafu ukiwa unasoma kitu jaribu kusoma between the lines. Kuna sehemu nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala? Tofautisha dereva wa daladalada na mmiliki wa daladala.
Mkuu nitumie PM basi kama MODs wanazingua humuWaulizeni mods kama inaruhusiwa kutupia picha ya mtu hapa. Kuna moja nataka niitupie yupo na bikini tu. Tulikuwa kwenye swimming pool. Wale masela niliokuwa naishi nao waliingia kwenye business ya sembe hivyo hela ikawa sio shida tena tukahamia kwenye nyumba bab kubwaa yenye swimming pool na kila kila kitu ndani, maeneo ya watu wanene.
Kma hutojali tupia pm picha nicheki Kisha nafuta
Wewe ni hesabu0 na si 900!Hii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
Sawa.... Soma then sepa... Umeambiwa kufanya kazi benki ilikuwa ni kumfanya konda msafi asimtafute... KIONGOZI, HADITHI HII MIKATAE KIMOYOMOYOHii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
hahahahha basi niliwaza hivyo then wazo nikalipuuza......enjoy mkuu mimi safari,konyag,k vant mikeka isipotiki ni balimiNatumia nakunywa heinekenn ndio beer ninayokunywa
nakukaribisha mkuu napata castle lager kubwaNatumia nakunywa heinekenn ndio beer ninayokunywa
Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.Hapa JF watu ninaowakubali katika kusimulia hadithi bila kukatisha wala kuwaacha raia njia panda ni KigaKoyo na JBourne59 ...Big up sana kwa hawa wakuu..wanasimulia kila tukio na wala hawataki kuumiza hisia za wengine..
Sio unakaa unaanzisha story then baadae unakuja kusema unaikatisha..Mambo gani haya..hata muda huu unapoisimulia najua utakuwa unaskip baadhi ya vitu ili tu uimalize uwaridhishe raia lakini toka moyoni mwako najua spirit ya kuandika imekutoka...Watu wamekaa kuisubiri halafu unaikatisha, then from no where unasema unaleta summary, why didn't u summarize in one page toka siku ya kwanza kama ulikuwa unataka kuleta summary?
Hadi ubembelezwe, watu walielie ndo ujisikie kuendelea.. Leo ndo umejua kama inakula muda. Kwani lazima uimalize leo? Mbona kina KigaKoyo na JBourne59 huwa wanaleta atleast 2 episodes per week..Ni episodes ambazo zinakuwa zimejaaa nondo za kila aina na hawanaga maringo hivi...
Acha mambo yako mkuu..hata kama story yako huwezi ukawafanyia hivi raia...Kama vipi potezea tu hata story yako maana maringo yamezidi wakati mwanzoni uliahidi kuweka kila kitu...wewe konda msafi na Habibu B. Anga wa VIPEPEO WEUSI hamna tofauti..Mnaanzisha story halafu mnaziachia kati kisa tu watu wameonesha mwitikio mkubwa..Acheni kuvimba...Hivi ushajiuliza ni psychological torture kiasi gani mnazowapa raia kwa huu ukatili unaotaka kuufanya...life is hard, watu wana stress na umepewa uwezo wa kuandika kisa chako na watu wanafarijika angalau wanapata relief na kuenjoy halafu from no where tu unakuja na story eti naishia hapa sijui ni ndefu toka 2008 hadi 2012....Ulilazimishwa kuileta? HAPANA, ulileta kwa hiari yako basi imalizie..Binafsi sikubembelezi wala sikulazimishi na nakairi kuwa naipenda na naifatilia story yako kwa sana, ila kama unaiendeleza usilete summary, kama unataka kuleta summary ni bora ubaki nayo tu na ikiwezekana mods waifute kabisa maana haimake sense...Kuanzisha kitu na kukiacha njiani huku watu wapo serious nacho ni mambo ya kishamba sana krnne hii tena kwa mtu mwenye exposure na educated kama wewe..
Big up sana kwa KigaKoyo na JBourne59 ...Mnajua kuwapa kitu wapendacho watu wanaotenga mda wao kufatilia story zenu...
UNABOA MKUUUUUU....Ni mimi Balozi wa watu wote wanaokerwa na tabia zako za sitaki na taka..
Tatizo mkuu una haraka. Hebu endelea kupitia page moja baada ya nyingine utaupata mwendelezo. Kuna episodes kibao zipo mbele. Usiwe mvivu wa kusoma comments page after page.Nasikitika sana hii story yako imeisha kifala sana.
Kuna matukio muhimu umekwepa au ukaamua kutuonjesha kwa makusudi na kutupotezea.
Imeniuma sana ila nakuomba kwa moyo dhati/ chini ya uvungu wa moyo wangu uyasimulie pia.
Ulikwepaje kukamatwa na polisi?.
Khumbu alilia ulipotoka Dizonga?
Je ukaendelea kuwasiliana nae?
Baba Isa bado yuko Dizonga anapiga mishe zake za sembe?
Kama hutojali nipe connection za Dizonga.
Nikuambie kitu ... Watu wengi tulioanza kuisoma hii hadithi yako tangu mwanzo unaanza kuandika thread ya kwanza tulikuwa na shauku ya kujua kilichokufanya mpaka ukaikimbia south Africa na kurudi bongo ..so Kama itakuwa haujaelezea sababu ya wewe kukimbia south Africa itakuwa umetubaka kihisia sisi hadhira na hii inaweza sababisha siku ukileta thread nyingine hapa Jf watu tusiite kuifuatilia kwa sababu tutakuwa na wasi wasi kuwa unaweza kuikatisha njiani wakati sisi Kama hadhira tayari tuna kuwa tumeshapata addictionMkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
Ukifanya hivyo itakuwa poa sana mkuu...samahani kama umejisikia vibaya ila nimewakilisha hisia za wengi ambao hawawezi kuandika hapa...wengi waliumizwa na uamuzi wako nikiwemo mimi, wengi wameumia na kuongea mambo magumu kimoyomoyo...Take your time, andika hii story hadi mwisho, weka codes zote unazojua ili kulinda identity yako ila kikubwa tu zingatia kuwakata kiu wanaokufatilia....am so sorry once again konda msafi .. Hadithi yako imevuta hisia za wengi, ni kama vile mtu ana kiu cha maji halafu anapewa robo glasi, inakuwa inauma sana....Thanks bro, i will be waiting to read your story.Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.