Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kweli kabisa sikuongelea kwa kina pale Khumbu alipokuja na gari, pia mengi yalitokea kutokea siku hiyo mpaka kufikia tukio la kukutana na polisi.
Nikuombe sasa utupe masimulizi hayo andika tu kipande kwa kipande maisha ambayo yana zaidi ya siku moja au miaka zaidi ya minne huwezi simulia kwa siku moja. Unajua mkuu tanzania tuna uhaba wa masimulizi halisi ya maisha. Zile zama za kuwasikiliza wazee wetu hazipo. Tunapopata masimulizi kama haya tuunayachukulia kwa uzito mno. Hapa sisi ambao hatujafika nchi za watu pia tunajifunZa pia tamaduni zao. Nakuomba ulichukulie suala hili kwa uzito sana. Tunaheshimu mchango wako na tunakuheshimu pia.
 
Huyo hesabu900 achana nae tupe mambo Bro.
 
Man nimeandika ninavyojisikia juu ya uzi huu.
 
Kifo cha Khumbu Mkhaze sie ndugu zake wa hapa bongo ndio tumekisikia hivyo mleta mada tunakushukuru kwa taarifa kifupi sasa hivi tunafunga maturubai kuomboleza , mleta mada sisi kama ndugu tunahitaji taarifa kamili ya kifo cha mpendwa wetu.
 
Hata stiglas itatuacha njiani.
 
Tangu juzi najifunza style ya kukunguta ..kiuno hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni khumbu aitwe khumbu
Tuko pamoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna salon moja pale workshop ilikuwa inamilikiwa na mburundi rafiki wa jamaa yetu don mkubwa, huyo mayor unayemuona mtu mzito alikuwa anakuja kunyoa pale.
Kwa mfumo wa Serikali za kiafrika Mayor MTU wa kawaida tu, mbona hata hapa Tz wabunge wanagegeda Bar Maids, Machangudoa sasa jamaa anashangaa hajui nguvu ya mwanake hahahaa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Embuuuu...style moja inaboa bwana..Mimi mwenyewe nataka nipigwe miti kwa style mpya uwiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini mnanyoa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…