mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Nikuombe sasa utupe masimulizi hayo andika tu kipande kwa kipande maisha ambayo yana zaidi ya siku moja au miaka zaidi ya minne huwezi simulia kwa siku moja. Unajua mkuu tanzania tuna uhaba wa masimulizi halisi ya maisha. Zile zama za kuwasikiliza wazee wetu hazipo. Tunapopata masimulizi kama haya tuunayachukulia kwa uzito mno. Hapa sisi ambao hatujafika nchi za watu pia tunajifunZa pia tamaduni zao. Nakuomba ulichukulie suala hili kwa uzito sana. Tunaheshimu mchango wako na tunakuheshimu pia.Kweli kabisa sikuongelea kwa kina pale Khumbu alipokuja na gari, pia mengi yalitokea kutokea siku hiyo mpaka kufikia tukio la kukutana na polisi.