Mh...yawezekana mm nilikuwa nahisi ha CHAI ya moto maana dada wa watu alikuwa pesa mbeleKifo cha khumbu alichanganya mabwana zaid ya wawili na wote wakawa wanamgharimikia siku akawagonganisha wakachomana visu uko durban sasa washkaji wa uyo jamaa alieuwawa wakaamua wamtaitishe khumbu wakamfanyia umafia.
Mkuu wewe hutakiwi kujibu hao pimbiKuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (local concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
Wewe nenda kawajulishe kwenu umebambikwa mimbaKwanini mnanyoa bure
Ahahaha afu we Yna2 Khumbu wewee..!!!Tangu juzi najifunza style ya kukunguta ..kiuno hoi😂😂😂
Acheni khumbu aitwe khumbu
unashawishika sioHivi huko telegram kukoje? Hebu na mimi nielekeze mkuu. Nisije nikawa nalalamika napoteza muda hapa kumbe kuna bukubuku zingiweza kunitia nguvu ya kuandika.
😂😂😂😂 Yna2 khumbu😜Ahahaha afu we Yna2 Khumbu wewee..!!!
nitag hizo linkNilizipata bwana af ndo nikakutana na habari za uzi kukatishwa mara unakula sana muda wa mleta uzi....basi ilimrad kunivuruga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafahamu Historia ya Melania Trump? Hakuna ambacho hakiwezekani chini ya jua hiliKutoka uchokoraa stand au sokoni hadi kuwa dem wa mayor tena kwenye jiji kubwa.... Hii ni uongo mtakatifu
Kuna watu wana maswali ya kindezi[emoji1787][emoji28][emoji28]jibu zuriWewe nenda kawajulishe kwenu umebambikwa mimba
[emoji28][emoji28][emoji28]yani nawaza khumbu alikuwa je? Pisi moja matata combination ya uwoya. kajala....paula etcTako la kuning'inia
Style ya kukung'uta siafu!
Uzi umeibua Id ambazo sijawahi ziona na sijakutana nazo. Safi tunaendelea vzr wakuu tutakua pamoja hata mwezi mzima mpk tujue mwisho wa Sista duu Khumbu na Bro Konda
Kwako mzeeMwanafunzi mbona hapo ni wakawaida
[emoji15][emoji15]Unasema kweli!! Wachaga hawaingiii ndaniKhaaakhaaa! mpaka leo dunia nzima mwanamke wa kwanza mwenye TAKO linalowapita wote ni msauz Africa.Fanya uende ukajionee nehema za Mungu!
Tatizo lenu mnadhani wanasiasa wa nchi za watu wana majivuno kama wanasiasa wenu uchwara wa huku. Mayor ni diwani tu by the way.