Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kifo cha khumbu alichanganya mabwana zaid ya wawili na wote wakawa wanamgharimikia siku akawagonganisha wakachomana visu uko durban sasa washkaji wa uyo jamaa alieuwawa wakaamua wamtaitishe khumbu wakamfanyia umafia.
Mh...yawezekana mm nilikuwa nahisi ha CHAI ya moto maana dada wa watu alikuwa pesa mbele
 
Kuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (local concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
Mkuu wewe hutakiwi kujibu hao pimbi
Shusha hiyo hiyo wanayosema chai sisi tumeipenda .

Tuachie sisi hao ngedere tuwamanue
 
Nilizipata bwana af ndo nikakutana na habari za uzi kukatishwa mara unakula sana muda wa mleta uzi....basi ilimrad kunivuruga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nitag hizo link
 
  • Thanks
Reactions: qim
Khumbu mrembo na Konda Msafi..


R I P
FB_IMG_16129579148381790.jpg
 
Khaaakhaaa! mpaka leo dunia nzima mwanamke wa kwanza mwenye TAKO linalowapita wote ni msauz Africa.Fanya uende ukajionee nehema za Mungu!
[emoji15][emoji15]Unasema kweli!! Wachaga hawaingiii ndani
 
Mkuu tatizo la Watanzania wengi exposure ni zero,jamaa amesikia mayor akahisi president! Huku sisi Serikalini mtua akikwambia ni Diwani au Mbunge unachukulia simple vibaya mno Mara mia akuambie ni Mkurugenzi flani ndipo heshima itakuwepo.
Tatizo lenu mnadhani wanasiasa wa nchi za watu wana majivuno kama wanasiasa wenu uchwara wa huku. Mayor ni diwani tu by the way.
 
Back
Top Bottom