Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho


Huyu jacky wa Mengi si kawekwa na kina Jay mo ? wana levels sawa na mengi ? yan mengi angemkataa jacky kisa alikuwa na watu wa chini ? Jamaa hajui nguvu ya wanawake kwa wanaume
 
Madereva wa dala dala hapa sauz sio machafu kama TZ,hii ni industry inayoheshimika sana. Mtu ya ukisoma dereva wa dala dala unapiga picha akilini kama madereva wa basi za Tandale.
Mkuu huyu jamaa kwa maksudi anapotosha watu humu. Hakuna sehemu mimi nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala. Khumbu alikuwa amezaa na boss wa daladala. Maana hiyo kama mtu anamiliki daladala kwa nchi kama South africa maana yake ana hela za kutosha. Sasa mtu ni mfanyabiashara wa daladala utasema hana hela? Jamaa kaniangusha sana. Anaharibu uzi wangu huyu mwamba.
 
Yaan ambacho hajakijua hawa vigogo hawataki mademu wa spotlight. Wanataka vya kimya kimya. Acha nitunze siri za hizi ofisi. Wengi pia mwazifahamu. Mtu kama hajui atulie.
 
Huyu jamaa hajatembea wala hata kufuatilia maisha ya nchi zingine.... Kwa bongo kuwa na gari ni anasa sababu ya umasikini wa walio wengi... Mi kuna kipindi nilifanya kazi GGM Geita,, kule kuendesha gari wala sio ishu na hakuna anayekuuliza wala kukushangaa.. tena magari makali,, cruiser za kumwaga..... Muhimu uwe na leseni na upasishwe na trainer. Na wakati wa msosi mchana wote mnapanga foleni.... hakuna cha bosi wala mfanyakazi wa chini wote foleni moja na chakula cha aina moja.... Kwa ngozi nyeupe madaraka plus gari sio ishu kabisa... Ushamba wa maisha, madaraka na vitu tunao sisi waswahili...
 

konda msafi achana naye huyu akitaka ajue kama wana hela chafu aulizie mmiliki wa daladala za Mashallah au Nanga boy na wengine wengi tu
 
Huyo siyo mwamba ni mpuuzi tu Kama wapuuzi wengine, ningekuwa naye karibu ningemchapa makofi kwa kumdharau shemeji,
 
Achana naye... Tusonge mbele mzee baba..... Lete mambo ya khumbu na staili yake ya kukungu'ta siafu.... Ila ungetupia na picha yake ingekuwa poa sana...... Ila nakuomba mwisho wa stori utoe walau ushauri kwa vijana juu ya maisha ya south na harakati zake kiujumla kwa wenye mawazo ya kwenda huko kimaisha, kusoma ama vyovyote... wakifika huko wafanyeje nini na waepuke kipi.. Utupe uzoefu wako kiujumla juu ya maisha ya huko na raia wake.. asante..
 
Huu uzi nimeona members ambao hata sikutegemea kweli milima haikutani ila binadamu wanakutana

Natoa pole kwa member anayejiita 009 aisee kayakanyaga pabaya kama yupo dar aje mitaa ya workshops karibu na tents la rangi ya bluu ataona viatu vya kike vimepangwa juu mpaka chini

Njoo upooze koo na k vant ya bariidiii mzee wa kukurupuka
 
Dah, napakumbuka GGM nilifanya interview 2011 siku mbili, kweli wakat wa msosi hakuna cha mbongo wa mzungu wote kwenye foleni, msameheni bure jamaa hajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…