toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mwanmke yeyote mzuri anachohitaji ni exposure tu, Akionekeana na jamaa akamvutia hata mwenye hela zake,kibosile, sijui ana cheo gani, unafikiri huyo dem atakuwa mwenzako baada ya hata 6 months? Maboss wangapi wanaoa ma house girls ambao baada ya muda ukionyeshwa huyo msichana huwezi amni ni yeye? Usishindane na mwanamke mkuu sio wenzetu
Huyu jacky wa Mengi si kawekwa na kina Jay mo ? wana levels sawa na mengi ? yan mengi angemkataa jacky kisa alikuwa na watu wa chini ? Jamaa hajui nguvu ya wanawake kwa wanaume