Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

yani watu tunalala tunamuota Khumbu mpaka tumeamka nae nq sasa tupo nae kazini..btw niko na vjana apa wanapiga Mock form 6 naona wanasinzia tu Natamani niwasomee hii story wachangamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine niko kwenye kikao na mm ndo katibu lakini nimezama kwenye story ya Khumbu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo busy mkuu. Ila natupia jicho humu mara moja moja. Ila muda wa kuandika stori ndio sina.
Fanya kazi mkuu, watu wenyewe wanaleta uzushi, kwanza watoe picha ya Sindile, jioni ndio leta story
 
Baada ya lile tukio la kukimbiwa moyo ulikuwa kama umekufa ngazi. Nikawa kila nikilikumbuka jina la Khumbu moyo unalipuka. Niliamini huyu demu hanitaki tena. Nikaamua kufocuss na shule tu sasa. Baada ya kama miezi miwili au mitatu, sikumbuki vizuri Khumbu alinitafuta. Akaomba tuonane, na mimi nilikuwa siwezi kumkatalia chochote, pamoja na hayo matukio yote aliyonifanyia bado nilikuwa sina nguvu ya kumkatalia. Alipoomba tuonane nilimkubalia. Jioni alikuja nyumbani akiwa na mtoto wake, alikuwa na binti wa miaka miwili by then. Siku hiyo alipika, tukala wote watatu yaani mimi, yeye na mtoto wake. Mechi ilipigwa lakini ilikuwa haina msisimko sana. Kwanza tulichelewa sana kulala kwa sababu ya mtoto. Mtoto hakulala mapema, muda mwingi tulikuwa tunaangalia tamthilia tu huku tukinywa chai. Baada ya mtoto kupitiwa usingizi ndio tukapiga mechi. Na hiyo ikawa mara ya mwisho Khumbu kuja kwenye hiyo sehemu, maana kuna mambo yalitokea ikabidi nihame. Nilihamia sehemu moja inaitwa Saint georges. Nilienda kujichanganya na wabongo flani hivi maana sikuwa na uwezo wa kupanga chumba peke yangu.
Nikiwa pale saint georges nilikuwa naogopa kumkaribisha Khumbu kuja hapo maana mazingira yalikuwa ya hovyo sana. Tukawa tunawasiliana kwa simu mara moja moja sana kama washikaji tu wa kawaida.
Kuna siku moja nikiwa chuoni Khumbu alipigia na kuniambia yupo maeneo ya chuoni kwetu kama nina nafasi tuonane. Nikamwelekeza nilipokuwepo, akaja tukatafuta sehemu tukaanza kuongea. Akaniambia anahitaji kuja kupaona ninapokaa, nikamkubalia ila nikampanga siku flani ambayo nitakuwa nipo vizuri mfukoni ili angalau nimpige miti na tuweze kwenda hata parking tukale ice cream. So, nilimpanga aje siku ya Jumamosi kama sikosei. Kwenda Jumamosi ilikuwa zimebaki kama siku mbili au tatu hivyo nikawa nahaha kutafuta hela kwa ajili ya mtoko. Nikamwendea hewani jamaa yangu mzungu wa unga, akanielekeza sehemu ya kuonana, akaenda kunitoa kama rand 500. Nikafurahi kishenzi, nikajua mtoko wangu na Khumbu utakuwa fresh. Nakumbuka ilikuwa siku ya Alhamis jioni hivyo siku inayofuatia ni Ijumaa. Kumbuka Saint georges nilikuwa nakaa na wabongo wa hovyo sana. Ijumaa asubuhi nimeoga najiandaa kwenda chuoni nacheki mfukoni kwenye suruali niliyokuwa nimeivaa hakuna hela, dah! nilichanganyikiwa. Kesho ndio siku nimepanga kumla Khumbu kisha twende zetu kupunga upepo hela inayonipa jeuri imepitiwa na masela. Nikawauliza jamaa, nani kachukua hela yangu kila mtu anakataa, basi ikabidi nimpigie simu Khumbu kumwambia tuahirishe mtoko maana sina kitu. Nikamweleza wazi kilichotokea, cha kushangaza jibu lake akasema anakuja hivyo hivyo. Nikamwambia mwenzio sina kitu itakuwaje, akasema mie nakuja kupaona unapokaa, kwani shida ni nini? Basi nikamwambia sawa wewe njoo. Nikaenda chuo kinyonge balaa huku nalaani aliyepita na hela yangu. Jumamosi ikafika, nikamwelekeza Khumbu flat tunayoishi. Mara nyingi siku za Jumamosi huwa nabaki peke yangu ghetoni. Hawa masele huwa wanaenda kwenye mishe zao. So Khumbu alinikuta peke yangu. Akawa anashngaa mbona naishi mazingira mabovu hivi? To cut a story short nilimla Khumbu mbuzi kagoma kwenda. Hakutaka hata kwenda kunawa bafuni maana bafu lilikuwa chafu balaa, alijifuta tu na kitambaa nikamsindikiza akaondoka. Kusema ukweli mpaka dakika hii mapenzi yetu hayakuwa kama ile zamani. Khumbu alianza kunipa k kama vile alikuwa ananionea huruma. ...Mambo yameenda hivi kwa muda mrefu, mapenzi yakawa on and off. Kuna siku mnakumbukana mnapigiana simu, kuna siku mnazinguana mnaanza kutukanana. Ugomvi wetu na Khumbu mara nyingi ulikuwa unatokana na simu. Khumbu alikuwa hapokei simu siku za weekends. Nilikuwa najua kabisa hapa kwa sasa sina changu ila kwa sababu napewa kila anaponihurumia basi acha niendelee kuwa mpole maana sina cha kumfanya. Kuna siku alikuja getoni pale Saint georges tukazinguana sana akaondoka kwa hasira. Nikawa namshambulia kwa maneno makali mixer matusi lakini akawa hajibu chochote. Usiku nikawa nampigia simu anakata. Nikawa naenda kwenye simu za public zile za kutumia coin akisikia sauti yangu anakata. Kwa kuwa hataki kupokea simu zangu nikaona acha nimshambulie kwa sms, matusi kama yote. Baadae alituma msg moja tu yenye maneno machache ikisema "I will see you in court". Duh! Moyo ukalipuka, Khumbu anaenda kufungua kesi, na ushahidi wote wa msg za matusi anazo. Huo usiku sikulala kabisa.

Itaendelea...
Ikifkaga hapa ndo suala la masela nakataaga kabisa, mkishazoeana dharau huwa zinaanza kudadek,
 
Watu wwngine humu wanaboaaa kinyamaa yani hii story katika JF ndo nimeifatilia hatua kwa hatu na story ya mwamba mmoja yule wa his father is his hero. Yani story ya khumbu inanipa mzuka hatarii. Sasa wengine mnagoogle mpk wahusika jamani. Mnapenda sana kuharibu centre of concentration za watu.
 
Ujinga wako ni ile ku-admit kuwa ndo yeye, bila hivyo nani angethibitisha.... picha za wangapi humu zinatumwa bila maelezo na hatujali!
Nafikiri bado hujanielewa. Swala sio ku-admit, point ni mimi kuvumilia kuona picha ya jamaa yangu imeanikwa hapa. Sijui kama unanielewa. Of course naelewa kama nisingeadmit hakuna mtu ambaye ange-pay attention. Ila dhamira yangu isingekubaliana kuona picha ya mtu ninayemfahamu akiwa hapa. Umeshafikiria huenda hata Sandile mwenyewe akaiona hii picha hapa JF?
 
Duuh kumbu kanisababisha hadi saiv sijala tangu asubuhi nafatilia wala sitak mtu aniongeleshe kabisa [emoji1787][emoji1787], hii story inafanya mtu unakua horny sana kwa haka kaubaridi unaweza kujichukulia sheria mkononi
 
View attachment 1699842. Imekuja milima tu kubabeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] waiter niongezee Konyagi kubwa #Khumbu ila jamaa ulikuwa unafaidi sana, nawawazi hawa Khumbu wetu muzungushanee weeee ndani kama wahindi vile, mara kojoleo linyweee kwa maudhi mpaka mission inakuwa possible unajiapiza si rematch tena [emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji481][emoji481]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umezama gugo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu unagombana nae asubuhi jioni unamkuta kahamia Floor ya chini ya mtu mnaye ishi nae kwenye flat 1 ... Mademu wa ukanda ule Ni nyoko ..ukiishi SA ukirudi bongo mademu Hawa wezi kukupasua kichwa Aisee ... Kule Kuna watu wamevurugwa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji38][emoji28][emoji1787]asee hii kali ..kwa hiyo kule ukiwa na kiherehere cha kupenda unaweza kujiua
 
Wapi imeandikwa ni lazma kufanya ngono ni lazma mzae? Unayajua malengo yao? Unajua alichokua anatumia Khumbu? Mkuu huko ni kuingilia maisha ya mtu na uhuru wake

Usiwe siriazi sana, kwani unateseka?
 
Hii story ya Khumbu itanivunjia ndoa yangu wazee....nimeanza nayo ofisini ,wife kaipitia ofisini kunipick twende home nimemwambia anisaidie kudrive ili niendelee kusoma habari ya khumbu....nimeingia home, nimeoga fasta,nimekula kaa ushahidi tu kuepusha maneno na wife nimekamata simu natafuta next episode ya kumbu, wife kanuna balaa...hapendi nishike simu usiku ...kumuonyesha story ya khumbu sitaki..nimemuacha anune apasuke tutasolve kesho,leo sitaki usumbufu kwenye khumbu story...ni episode baada ya episode
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112]
 
Back
Top Bottom