ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
[emoji23][emoji23]Tutasoma hivyohivyo mkuu usiwe na hofu [emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Tutasoma hivyohivyo mkuu usiwe na hofu [emoji847]
Nilijua tuu wenye wivu mtakuja. Napenda mwandiko wake nadhani hata ki uhalisia yupo smart kama maandishi yake. Ni hivyo tuu hakuna zaidiUshaanza kumpenda!
mtoa mada njoo uokote embe dodo huku limedondoka[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mkuu mtoa story anaaandika bila kuchapia neno hongera sana. Nadhani uko smart mpaka mwili wako
Tunapewa story nyie mnatuchanganyia na mambo ya ukimwi.Republic of South Africa(RSA) ndio inayoongoza kwa wagonjwa wengi wa ukimwi wanaotumia dawa za kufubaza virusi Africa.
Hii ya mtoto cjaionaKuanzia juzi hapa JF pamekuwa patam sana, kuna nyuzi kama 3 hivi nkiingia lazima nizipitie.
1.hii ya khumbu
2.Jamaa anaye mkataa mtoto rasmi.
3.ya mzee wetu Mwitore na bi mdogo wake.
Yaani mambo ni Hot no Stress.
Ndo ujinga wenu watoto wa humu kumsifia mtu mnadhani ana maanisha nini?mtoa mada njoo uokote embe dodo huku limedondoka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii imekuwa rahisi sana manake umegive away key details.Sasa hapa kudadadeki mmeweza kumpata Sandile Ndlovu huenda hata mimi mtanipata. Sasa sijui niachane na hii stori maana kuna matukio watu wanaonijua wataanza kunishangaa. Au nitaachana na hayo matukio???
Ndo ujinga wenu watoto wa humu kumsifia mtu mnadhani ana maanisha nini?
Sawa mkuuUtapata tabu sana ukimsikiliza na kumjibu kila mtu rafiki. Kuna wengine ukinyamaza ndio jibu wanastahili.
Huyu ndio Khumbu wako sio? Ama kweli kila mtu na aina yake ya ulevi[emoji4]
andika vyovyote mkuuTutasoma hivyohivyo mkuu usiwe na hofu [emoji847]