Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Habari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Pole mkuu.Lakn umeniacha wap?Mi niliishia pale utaenda kuhudhuria mazishi ya bibi ake Khumbu.Sa'leo umeanzia eti umepata kazi!
 
itafute ipo..njia rahisi ya kuipata ni kusachi jina la konda msafi kwenye profile then unapitia comments zake zote..hapo utaipata kwa urahisi
 
Pole mkuu.Lakn umeniacha wap?Mi niliishia pale utaenda kuhudhuria mazishi ya bibi ake Khumbu.Sa'leo umeanzia eti umepata kazi!
Mkuu, tafuta episode kibao zipo katikati. Episode niliyomalizia kuiandika ni kuhusu shemeji yenu Khumbu kula nauli na mimi kutishiwa kupasuliwa kichwa kwa risasi.
 
Tuwe wavumilivu stori inaelekea ukingoni. Kama sikosei limebaki tukio moja tu la mimi kuagana na Khumbu na kurudi zangu bongo. Ila mkiwa wavumilivu nitawapa bonus kuhusu yule demu wa Bloemfontein niliyemfanyia visa mpaka akaomba tuchukue break.
 
Mkuu usivunjwe moyo wala kukatishwa tamaa na maneno ya waja wasiokuwa na shukrani wala khisani.
Kwa hiari na utashi wako umeamua ku-share nasi sehemu ya historia ya mapito yako ulipokuwa bondeni kwa Madiba.
Binafsi nimesikitishwa na maneno yote ya kuvunja moyo yaliyonenwa dhidi yako.
Hata hivyo nimejifunza ya kuwa u mtu mstaarabu kupitia "reaction" yako kwa wote walokuvunja moyo.
Binafsi nakupongeza sana kwa uthubutu wa kuendelea kutupa simulizi hii murua.
Namalizia kukuomba utupe simulizi hii kwa kadri ya muda na nafasi yako vitakavyokuruhusu. Zaidi sana utuongeze hiyo bonus kwa stori ya huyo binti ulipokuwa ukifanya kazi.
Alamsiki'
 
Sawa... Subira yavuta kheri...
 
Kikosi Cha kula nauli
FB_IMG_16137542080096557.jpg
 
Tuwe wavumilivu stori inaelekea ukingoni. Kama sikosei limebaki tukio moja tu la mimi kuagana na Khumbu na kurudi zangu bongo. Ila mkiwa wavumilivu nitawapa bonus kuhusu yule demu wa Bloemfontein niliyemfanyia visa mpaka akaomba tuchukue break.
Unatuchanganya ujue

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Tuwe wavumilivu stori inaelekea ukingoni. Kama sikosei limebaki tukio moja tu la mimi kuagana na Khumbu na kurudi zangu bongo. Ila mkiwa wavumilivu nitawapa bonus kuhusu yule demu wa Bloemfontein niliyemfanyia visa mpaka akaomba tuchukue break.
Kifo cha khumbu pia Bado mkuu
 
Mkuu usivunjwe moyo wala kukatishwa tamaa na maneno ya waja wasiokuwa na shukrani wala khisani.
Kwa hiari na utashi wako umeamua ku-share nasi sehemu ya historia ya mapito yako ulipokuwa bondeni kwa Madiba.
Binafsi nimesikitishwa na maneno yote ya kuvunja moyo yaliyonenwa dhidi yako.
Hata hivyo nimejifunza ya kuwa u mtu mstaarabu kupitia "reaction" yako kwa wote walokuvunja moyo.
Binafsi nakupongeza sana kwa uthubutu wa kuendelea kutupa simulizi hii murua.
Namalizia kukuomba utupe simulizi hii kwa kadri ya muda na nafasi yako vitakavyokuruhusu. Zaidi sana utuongeze hiyo bonus kwa stori ya huyo binti ulipokuwa ukifanya kazi.
Alamsiki'
Shukrani mkuu kwa appreciation. Tupo pamoja. Hii stori niliileta kwa hiari yangu na nitaimaliza kwa hiari yangu. Tulikotoka ni mbali, mwisho wa safari umekaribia, yamebaki matukio mawili tu kulingana na muainisho niliouweka pale mwanzo kabisa wa hii stori. Tuvumiliane tu ndugu zangu, tupo ukingoni.
 
JF muda mwingine inakuwa kama imeingiliwa. Wewe kama wewe hakuna mtu anaekupangia kitu gani upost, muda gani uingie na nini uandike. Sasa kuna tatizo gani ukimuachia mtu uhuru wa kufanya atakacho kwa muda wake ataojisikia?!

Au kuna mahali pameandikwa ni lazima kusoma simulizi hadi mwisho au kwa mfululizo ndani ya muda mfupi?! Kuna mtu amewahi kushikiwa bunduki kuchangia humu?! Mtu akiahidi kuleta muendelezo hajaleta we unapungukiwa nini?!

Wengine watoto wa kiume kabisa ila malalamiko hadi yanatia mushkeli uanaume wao. We ratiba binafsi ya mleta simulizi inakuhusu nini?!

Kitu pekee unachoweza kutolea malalamiko ni kile unachokilipia(Kulipia sio kuchangia). Yaani mtu aache harakati zake zinazomuingizia kipato kisa mbwiga flani ziko Jf zinataka amalize story? Aisee si itaonekana mumemuoa, mke wenu?!
 
Cha kusikitisha hata kumpa buku mleta stori hawataki. Yaani wanataka burudani kwa bure. Waambie waende uwanja wa Mkapa kukiwa na match kama wanaweza kupata burudani bure. Mleta sitori kaamua kuileta bure ili kila mtu ajifunze kitu kuhusu mkasa wake lakini wanataka tena kumpangia.
 
Mimi nadhani tumwache konda msafi amalize story yake bila presha kutoka kwa wasomaji, aliamua mwenyewe ku share experience yake na akajitahidi kuitoa mfululizo vizuri tukafurahia , nadhani ni busara kumwachia ailete vile anavyojisikia, akiandika kwa utulivu huyu bwana anajua kupamba story kweli, tumwacheni, ni muungwana ataimalizia tu!
Mnapombana namna hiyo anahisi labda kuna msela anataka kwenda nayo SINTASAHAU ya free africa. Kuweni watulivu! Mastory yapo mengi tu Jamii forum kasome Jamaa Alivyompiga kofi mchepuko, ili ujue bado kuna wanawake ambao ni waifu material humu duniani, ingawa wa kutafuta na tochi! Yule ndio mke sasa!
Duh kuna story nyingi sana humu JF hasa siku hizi kwa jinsi tulivyobanwa na TCRA hakuna siasa wala majukwaa yetu watu wazima
Ila story ya Mchepuko alivyoenda mletea fujo Mke wa jamaa imenigusa sana na hata mm nitaleta mnisaidie hii michepuko balaa
WA KWANGU kaniletea fujo na kazaa mtoto na mfunga buti mmoja analinda kiwanda jirani na nalipompangia chumba, kumbe mm nikiwa na wife yeye anaingiza, usiku mm zamu yangu mchana, siku tukagongana, akanidanganya ni wa chumba cha pili kwa shoga yake, hapo cumbani anapenda kuangalia tamthilia tu, basi alipotoka nikamwambia mbona mchafumchafu analalalindoni chini, akamtete mtu namna hiyo nisimdharau, kwani bibie chumnba cha pili anamsifu kuwa ligwaride analipatia si mchovumchovu (nikajua ni mm ninayesembwa viwili chali tena na condom)

Basi akajifungua mtoto kadi jina langu du miezi mtoto hatufanani nikabinywa sikio na shoga niliyeambiwa wa mfunga buti sio wako huyo, kuangalia mapigo yangu na ndomu mimba imeingiaje, nikamkatalia, fujofujo mpaka kwa wife na mama yangu,
nikaomba Dawati la jinsia POLISI tupime DNA, basi yule mfunga buti kusikia

Wazee na mm nimechoka, usiku sana ngoja nipumzike nitaendelea baada ya konda msafi
🤣 😀 😂 😍 🤣 🤣😂😇😁 usiku mwema raha ya JF
 
Back
Top Bottom