Mimi nadhani tumwache konda msafi amalize story yake bila presha kutoka kwa wasomaji, aliamua mwenyewe ku share experience yake na akajitahidi kuitoa mfululizo vizuri tukafurahia , nadhani ni busara kumwachia ailete vile anavyojisikia, akiandika kwa utulivu huyu bwana anajua kupamba story kweli, tumwacheni, ni muungwana ataimalizia tu!
Mnapombana namna hiyo anahisi labda kuna msela anataka kwenda nayo SINTASAHAU ya free africa. Kuweni watulivu! Mastory yapo mengi tu Jamii forum kasome Jamaa Alivyompiga kofi mchepuko, ili ujue bado kuna wanawake ambao ni waifu material humu duniani, ingawa wa kutafuta na tochi! Yule ndio mke sasa!
Duh kuna story nyingi sana humu JF hasa siku hizi kwa jinsi tulivyobanwa na TCRA hakuna siasa wala majukwaa yetu watu wazima
Ila story ya Mchepuko alivyoenda mletea fujo Mke wa jamaa imenigusa sana na hata mm nitaleta mnisaidie hii michepuko balaa
WA KWANGU kaniletea fujo na kazaa mtoto na mfunga buti mmoja analinda kiwanda jirani na nalipompangia chumba, kumbe mm nikiwa na wife yeye anaingiza, usiku mm zamu yangu mchana, siku tukagongana, akanidanganya ni wa chumba cha pili kwa shoga yake, hapo cumbani anapenda kuangalia tamthilia tu, basi alipotoka nikamwambia mbona mchafumchafu analalalindoni chini, akamtete mtu namna hiyo nisimdharau, kwani bibie chumnba cha pili anamsifu kuwa ligwaride analipatia si mchovumchovu (nikajua ni mm ninayesembwa viwili chali tena na condom)
Basi akajifungua mtoto kadi jina langu du miezi mtoto hatufanani nikabinywa sikio na shoga niliyeambiwa wa mfunga buti sio wako huyo, kuangalia mapigo yangu na ndomu mimba imeingiaje, nikamkatalia, fujofujo mpaka kwa wife na mama yangu,
nikaomba Dawati la jinsia POLISI tupime DNA, basi yule mfunga buti kusikia
Wazee na mm nimechoka, usiku sana ngoja nipumzike nitaendelea baada ya
konda msafi
🤣
😀 😂 😍 🤣 🤣😂😇😁 usiku mwema raha ya JF