Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

kinachothibitisha khumbu alikuwa mzuri zaid ya mstari wa kawaida kitendo cha kufa akiwa mdogo. naskia watu wazuri na wema hufa mapema. kila mmoja sasa ajitafakar yukoje
Kama mtu ataniomba nimwelezee Khumbu kwa maneno machache, haya ndio naweza kusema Khumbu alikuwa mwanamke wa aina gani: Khumbu alikuwa na roho nzuri sana, mcheshi. Alikuwa ni mtu mwenye huruma, unlike wasichana wengine alikuwa hapendi kuniona nadhalilishwa. Kuna siku tulikuwa kwenye daladala, kuna vijana walianza kuniongelea vibaya aliwapa vidonge vyao hadi abiria wote kwenye daladala wakamuunga mkono. Alikuwa hapendi kutumia hela yangu vibaya, mara nyingi sana alikuwa anakataa nisimnunulie chakula cha kwenye migahawa badala yake anasema twende supermarket tukanunue chakula tukapike wenyewe kupunguza gharama. Kule Rossburg pamoja na kwamba nilikuwa nalala kwenye kistore, godoro chini na kidirisha kimepasuliwa lakini hakujali. Akinizingua nilikuwa nanuna na kumchunia lakini nikimmiss na kuamua kumpigia alikuwa haendelezi ligi, alikuwa anaonyesha pia kunimiss maana alikuwa anakuja mara moja kama vile alikuwa anaombea nimpigie. Mara nyingi sana nilishamdhalilisha kwa maneno ya matusi, na alikuwa anachukia sana lakini hakuwahi kunitukana au kunidhalilisha kwa namna yoyote ile. Kila nikitafakari huwa naona alikuwa na mapungufu ya kawaida tu kama ilivyo kwa wanawake wengi. Swala la yeye kutokuja Bloemfontein na kuninyima k siku ile naondoka ni mapungufu ya wanawake wengi. Wanawake wanaojiona wazuri wana kawaida ya kujifanya wagumu kutoa mchezo hata kama anakupenda, Khumbu is not exceptional.
 
Rest well beautiful soul[emoji179]
 
Kuna vitu vingi vinavyofanya watu wajenge hamu ya kuona picha ya Khumbu. Cha kwanza ni maelezo ya mtoa story ambaye amempa sifa ambazo kila mwanaume anateseka lazima amtamani. Pili namna alivyomteka mtoa story ndio maana watu wanataka kuunganisha dots.

Ingawa ukweli ni kwamba wakati mwingine connection ya mtu kwa mtu inaweza kuwa haionekani kwa macho wala kuelezeka kwa maneno. All in all we enjoyed the show asante sana kwa @konda msafi
 
Tatizo la wabongo ni hili: Unaweza kuweka picha ya Khumbu humu watu wakaanza kukushambulia kwa maneno kama "Utawekaji picha ya marehemu kwenye mitandao? Unamdhalilisha marehemu, dini hairuhusu kuweka picha ya marehemu, humu humjui mtu stori tu inatosha hukutakiwa kuweka picha, na maneno mengi yanayofanana na hayo ambayo yatakufanya ujute". So mie naona tuachane na mambo ya picha. Kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
Watu watamuweka kwenye avatar Fasta so maisha tu,
 
Nashukuru sana kwa stori nzuri. Kulikuwa kuna mapungufu mengi ya uwasilishaji lakini yanavumilika
 
Tatizo la wabongo ni hili: Unaweza kuweka picha ya Khumbu humu watu wakaanza kukushambulia kwa maneno kama "Utawekaji picha ya marehemu kwenye mitandao? Unamdhalilisha marehemu, dini hairuhusu kuweka picha ya marehemu, humu humjui mtu stori tu inatosha hukutakiwa kuweka picha, na maneno mengi yanayofanana na hayo ambayo yatakufanya ujute". So mie naona tuachane na mambo ya picha. Kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
Binafsi nimekubali kumchora Khumbu kichwani kwangu....ila nina ombi kwako konda msafi naomba utuambie chanzo cha kifo chake, maana hata wewe umekiri kuna utata na pia uliwaagiza rafiki zako wachunguze kifo cha shemeji yao.
 
Usituambie hivyo weweeeeee,inaonekana uliwaambia marafiki zako wakupelelezee kwamba shori wako alikufaje halafu unatuambia mwisho wa stori wakati ni kama vile ina mwendelezo vile.Hebu malizia stori yako basi usituache njia panda mkuu
 
Binafsi nimekubali kumchora Khumbu kichwani kwangu....ila nina ombi kwako konda msafi naomba utuambie chanzo cha kifo chake, maana hata wewe umekiri kuna utata na pia uliwaagiza rafiki zako wachunguze kifo cha shemeji yao.
Hivi alivyokuwa akiigawa kama njugu na huko Sauz ngwengwe ilivyojizatiti ataacha kufa kwa ngwenge huyo khumbu?
 
Asante sana konda msafi , story bora kabisa, imetufunza mengi kuhusu life ya bondeni,mademu wa bondeni, mazingira ya utafutaji huko, na mengine mengi, umeisimulia vizuri sana, kuhusu picha ya Kumbhu acha kila mtu achore wake kichwani mwake, thank man!!
 
Tatizo la wabongo ni hili: Unaweza kuweka picha ya Khumbu humu watu wakaanza kukushambulia kwa maneno kama "Utawekaji picha ya marehemu kwenye mitandao? Unamdhalilisha marehemu, dini hairuhusu kuweka picha ya marehemu, humu humjui mtu stori tu inatosha hukutakiwa kuweka picha, na maneno mengi yanayofanana na hayo ambayo yatakufanya ujute". So mie naona tuachane na mambo ya picha. Kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
Hapana mkuu..WEKA PICHA...au lah unaogopa kuwa labda utaonekana ulidata kwa demu ambae sio mkali kivile....Ila story yako ni kali sana kaka..pole kwa misukosuko na kwa kumpoteza mwanamke aliyekupenda kwa dhati..

Weka picha tuone kama Khumbu yaliyomo yamo..au demu wa kawaida sana ndomana ulitufojia picha..

Just kidding bro..Ni mimi msema ukweli usini maind...Thank you for your time bro konda msafi
 
Kama mtu ataniomba nimwelezee Khumbu kwa maneno machache, haya ndio naweza kusema Khumbu alikuwa mwanamke wa aina gani: Khumbu alikuwa na roho nzuri sana, mcheshi. Alikuwa ni mtu mwenye huruma, unlike wasichana wengine alikuwa hapendi kuniona nadhalilishwa. Kuna siku tulikuwa kwenye daladala, kuna vijana walianza kuniongelea vibaya aliwapa vidonge vyao hadi abiria wote kwenye daladala wakamuunga mkono. Alikuwa hapendi kutumia hela yangu vibaya, mara nyingi sana alikuwa anakataa nisimnunulie chakula cha kwenye migahawa badala yake anasema twende supermarket tukanunue chakula tukapike wenyewe kupunguza gharama. Kule Rossburg pamoja na kwamba nilikuwa nalala kwenye kistore, godoro chini na kidirisha kimepasuliwa lakini hakujali. Akinizingua nilikuwa nanuna na kumchunia lakini nikimmiss na kuamua kumpigia alikuwa haendelezi ligi, alikuwa anaonyesha pia kunimiss maana alikuwa anakuja mara moja kama vile alikuwa anaombea nimpigie. Mara nyingi sana nilishamdhalilisha kwa maneno ya matusi, na alikuwa anachukia sana lakini hakuwahi kunitukana au kunidhalilisha kwa namna yoyote ile. Kila nikitafakari huwa naona alikuwa na mapungufu ya kawaida tu kama ilivyo kwa wanawake wengi. Swala la yeye kutokuja Bloemfontein na kuninyima k siku ile naondoka ni mapungufu ya wanawake wengi. Wanawake wanaojiona wazuri wana kawaida ya kujifanya wagumu kutoa mchezo hata kama anakupenda, Khumbu is not exceptional.
Toka nimeanza kuisoma story hii kk mkubwa ,nimekuwa ni mtu wa huzuni sana ,kuna situations zimekukuta na Mimi zishanikuta but actually nimeappreciate level yako ya usimuliaji na uandishi ,uko vizuri lakini mwisho ni kuwa wewe ni mwanaume kwa yaliyokukuta bado ukakaza na haya majungu ya jamii forum but bado story umeimaliza ,congratulations kk ,karibu keko -nimetamani hata niwe Rafiki yako
 
Asante mkuu
Toa kitabu sasa kitauza Sana
Watu watapata picha kwenye kitabu
 
Toka nimeanza kuisoma story hii kk mkubwa ,nimekuwa ni mtu wa huzuni sana ,kuna situations zimekukuta na Mimi zishanikuta but actually nimeappreciate level yako ya usimuliaji na uandishi ,uko vizuri lakini mwisho ni kuwa wewe ni mwanaume kwa yaliyokukuta bado ukakaza na haya majungu ya jamii forum but bado story umeimaliza ,congratulations kk ,karibu keko -nimetamani hata niwe Rafiki yako
Pale Keko nasikia Chaduma yupo. Vipi anaendelea kuuza chapati? Just kidding. Nashukuru kwa kunipa hongera mkuu.
 
Hapana mkuu..WEKA PICHA...au lah unaogopa kuwa labda utaonekana ulidata kwa demu ambae sio mkali kivile....Ila story yako ni kali sana kaka..pole kwa misukosuko na kwa kumpoteza mwanamke aliyekupenda kwa dhati..

Weka picha tuone kama Khumbu yaliyomo yamo..au demu wa kawaida sana ndomana ulitufojia picha..

Just kidding bro..Ni mimi msema ukweli usini maind...Thank you for your time bro konda msafi
Fohadi mbona unanitega mkuu? Usije ukanifanya nikaweka picha ya shemeji yako hapa kwa hasira. ...Just kidding.
 
Back
Top Bottom