Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Kwa upande huu hakuwa sahihi.. Ameonyesha u-mama..

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wakiachana hakuna anayekubali kwamba tatizo limetokana na yeye.

Lakini mara nyingi, the guilty ones ndiyo wa kwanza kutangaza chanzo cha kuachana.

Mfano, kama kweli Mabeste kaachwa sababu ya pesa, akienda kwenye media atapewa hiyo pesa?

Akae kimya, apambane atoboe.
 
Bro kama mwanaume unakubaliana na huo upupu dem almost mwaka mzima anaumwa je alikua anapata wapi mda wa kuandaa hayo matamasha...?., mi ninachokiona dem hakua level za mabeste ni wale madem unapata huamini..halafu mbaya zaidi ndo zile wasanii wa bongo pesa ya kuungaunga hadi tamasha lije dah utaweza vp mhandle shombeshombe. ?..na mbaya zaidi dem ndo kaenda toka na mwana kabisaaa kumfunga mdomo. ? Ogopa sana madem wanaorekodi kila unachofanya...anaweza kukuua huyo
 
True....anatafuta sympathy za Kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nilipoona ni hapo demu anasema amehudumia familia miezi miwili mitatu ndo kachoka duuh wanawake wabinafsi kinoma wakati saa zingine unakuta majamaa tunawachukua life halina directio hata kidogo ila hatuongei sana
Ndo hapo mkuu. Eti miezi tu miwili sijui mitatu.. kaenda kuongea mpaka kwenye media.. Kwani wangeachana kimya kimya angepungukiwa nini?

Huyu alikuwa hata kuongea hawezi kalala tu..
 

Hahaha, fundisho kubwa kwetu ni kwamba tupime uwezo wetu kabla ya kuingia kwenye mahusiano.

Kama ukiona level siyo yako waachie wenyewe.
 
Jamani kuna watu humu ata haelewi nini kina endelea wanakimbilia ku judge watu,iko ivi mabeste na mkewe wameachana zaidi ya mwaka na waliamua kukaa kimya kipindi chote hicho na kukataa kabisa kuhojiwa kuhusu kuachana kwao lakini mwaka huu mabeste alivyotoa wimbo wake mpya akaanza kuongelea kuhusu kuachana na mkewe na kumshutumu mkewe vitu kibao ili apate kiki arudi kwenye ramani,sasa mkewe akaamua kuendelea kukaa kimya lakini mabeste akazidi kuendelea kumuongelea vibaya kwenye media,na Lisa sasa kaamua kujibu mapigo na kasema ushahidi anao na hajaachana na mabeste kwasababu hana pesa...,Nawaombeni mutazame kwanza interview zote alizofanya mabeste kisha mutazame Lisa alivyojibu
 

Thank you, wewe umesikiliza hiyo interview.
 
Prostitute mindset, nimepata somo pia
 

Wanawake ni hela ndefu,mengine upumbavu mtupu!


Oh sijui mapenzi,sijui nini,nini....uongo mtupu!
 
fact mkuu ndiyo maana wazee wetu wana assets nyingi sisi tunawekeza kwenye viwalo na simu kali kizazi cha hawa wazee wetu kinaelekea mwisho hiki kizazi chetu kutakuwa cha kutupia na kujisifia kumiliki mali za urithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…