Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)

Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Siku msibani kusini huko nimefika uchovu safari nikasalimia nikarudi kulala kwa bibi.
Hayupo yuko nae msibani
Pigwa kabali ya Goti usiku mpk nachomoka pale jasho linanitoka.
toka mbio kizani.
Nikarudi mwenyewe msibani kukesha
Jamaa wanauliza we vp huku tena ulisema umechoka unaenda kulala?
Mi aah tukeshe tu lete Chai😁
kubandeki zao wanga.
 
🤣🤣🤣🤣 Watu wakaona usitutanie, sie tukeshe we ulale, we ni nani labda🤣
 
Nakwambia yaani fasta tu nimeenda home sa tatu nawaaga ,sa Sita usiku narudi nahema😅😅😅.
Tukakesha
Bibi Anatoka Asbuhi namfata anashtuka we uko hapa?
Namwambia toka jana usiku,
Sasa hujasema
Ndio kusema sikutaka kukusumbua ila kilichonikuta.
 
Ilitakiwa ujimwage hapo hapo msibani ulale
 
Ngoja nisimulie.....
Baba ni alishatangulia mbele za haki na kwa kifo chake sisi kama familia hatukuwahi mazishi yake baada ya kuchelewa kufika msibani Mbeya toka Dar esa Salaam. Kwanini ilikuwa hivi; baba alilazwa Tanga akafia njiani maeneo ya Iringa wakati baba mdogo anamrudisha Mbeya nyumbani baada ya baba kumsisitiza mdogo wake amrudishe kwa wazazi Mbeya. So baba mdogo akaona kwasababu ameshafika Iringa kugeuza kuja na maiti Dar itakuwa kipengere akakanyaga mafuta mpaka Mbeya( Hii ni kwa mujibu ya maelezo yake kwa bi mkubwa). So walipoona sisi watoto wake na mkewe tunachelewa wakaamua wazike maana mwili ulishaanza kujaribika.
Ilipita miaka mingi kama tisa tangia baba afariki, mama alimchukia mtoto wa shangazi kule kijijini ili amsomeshe kumpunguzia mzigo wifi yake. Katika kukaa pale home, mama alishindwa kuzielewa tabia za yule dogo, kwasababu mama alikuwa mlokole, Kuna siku alialika timu ya walokole wenzake na mchungaji pale nyumbani nasisi watoto wote tukiwepo. Baada ya kuimbaimba na kuanza maombi yule dogo (mtoto wa shangazi akapandisha mapepo) walipokuwa wakimuombea yale majamaa yaliyompanda kichwani yakaanza kuongea mambo ambayo hakuna aliyetegemea hata kidogo. Kumbe yule dogo yuko nyumbani kwetu kimisheni, kwa ninayokumbuka yalisema " tumemleta huyu hapa kuhakikisha mwezi wa kumi na mbili inapatikana kafara kutoka Kwenye familia hii na target alikuwa mdogo wangu wa kike anayenifuata mimi. Na baba walimchukua yupo Kwenye nyumba ya babu akitumika maana alikuwa hakubaliani na mambo anayofanya baba ake yaani babu yetu Sasa.
Watu wote walishtuka kusikia vile. Kwasababu waliongea mambo mazito ikabidi apigiwe simu baba yetu mdogo aje asikie yale mambo.
Kipindi hiko dogo amerudiwa na fahamu sasa jioni mzee mdogo akaja home na kuwekwa kikao kidogo cha kifamilia na marafiki wachache wa baba ambao mama aliwaita. Hapa nina waongelea watu wazito, mzee alifariki akiwa Chief Auditor wa shirika moja kubwa la UN, baba mdogo alikuwa Deputy Managing Director wa shirika kuba la kuzalisha umeme hapa nchini na marafiki wa mzee wenye nafasi zao serikalini kipindi hiko.
Yule dogo aliongea mengi mpaka kutaja members wa chama chao cha wachawi kule kijijini Mbeya kikiongozwa na dada ake babu yetu msaidizi akiwa babu na wote ambao wameshawala nyama na waliowachukua msukule ambao yeye anawafahamu, baba yetu (kwa yule dogo ni mjomba) alichukuliwa kwasababu alikuwa ni mbishikwa mambo ya babu. Pia alielezea jinsi wanavyofanya na babu na huwa anakuja mpaka pale nyumbani na kwa baba mdogo O-bay. Jinsi wanavyoangamiza familia, akawataja na shangazi zangu watatu ambao ni marehemu sasa walivyowachukua. Akaongezea mwaka huo ndio zamu ya mdogo wangu na mtoto mkubwa wa baba mdogo wetu wa kiume.
Baba mdogo kusikia hivyo akachomoa bastola na kumlenga yule dogo, watu wote walihamaki. Bila kutegemea bastola ilitoa moshi baada ya kufyatua risasi(kiufupi risasi iligoma kutoka) wakati anashangaa rafiki yake baba aliyekuwa jirani na mzee akampokonya ile bastola mzee kwa hasira akatoka nje na kwenda kukaa Kwenye gari yake. Baadae tukaamuliwa watoto wote tuondoke wakabaki wazee pale sebureni wakijadili yaliyotokea.
Ninachokumbuka kesho yake yule binti alitaarishiwa nauli na kurudishwa Mbeya. Hiki ndio kisa kilichoifanya nyumba yetu wote tuokoke na kutokanyaga kule kijijini Mbeya mpaka alipofariki babu na kukaa miaka kadhaa baada ya kumaliza chuo kikuu. Kiufupi familia yetu haukutaka kusikia tena mambo yanayoendelea kule kijijini pamoja na kuitwa mara nyingi kwenye vikao vya kiukoo. Sasa hivi ni mtu mzima, naenda kuwatembelea waliobaki, lakini wadogo zangu na mama wameshikiria msimamo wao mpaka Sasa. Uchawi upo
Niishie hapa
 
Mbeya ni noma sana kwa uchawi hasa uko tukuyu, mwakaleli, Busokelo, Lwangwa, itete, na masoko kama hujui watu wanachukuliwa misukule ad so poa.. na ukiwa na maendeleo makubwa zaidi tofauti na wenzio kwenye ukoo ha ha haaa ndugu unakuwa umekwisha lazima ulale kaburini kikubwa ni KUOKOKA NA KUMWAMINI MUNGU NDIYE MUWEZA NA KWELI UNAWASHINDA WACHAWI NA WAGANGA HUKU
 
Unajua haya Mambo yalitokea tukiwa secondary na mara nyingi kipindi cha likizo mama alikuwa hataki kabisa sisi twende kule. Ila Sasa ni watu wazima na Ile team yote iliyokuwa inaunda ule mtandao alioutaja yule cousin wangu ilishapotea (Wote wamefariki) so nahisi tuko safe sasa.
Yaani mashamba na viwanja vyote vya mzee mama anasisitiza tusamehe, ndugu waliobaki wananiita sana wakanioneshe na kuendeleza mali za mzee lakini aah
 
Polee sana mkuu...hiyo mikoa ni balaa nakumbuka familia ikianza kunyanyuka tu wanatuma komboraa...tena ndugu yako kabisa anakumaliza ......
 
Back
Top Bottom