Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

Waache waseme Chai,
Watoto hao.
Familia yetu toka pale iliparaganyika mpaka sasa.
Yule mama ndo kabisa anauza samaki huko morogoro.
Wakati maisha yalikua ya Neema tu kabla hawa wazee hawajafa.
Uchawi ni chanzo kikuu cha umasikini, tuupige vita. Tusiwaone wajinga watu wa Kanda ya ziwa waliokuwa wakiua vikongwe vichawi, na wengine kuwafukuza kwenye jamii zao, walichoshwa.
 
🤣🤣🤣
 
Duuuu walikuvesha mpaka nguo aisee hao wachawi wastarabu hawajakubaka kweli?
 
Sijawahi sikia kuwa kuna mti ambao watu waliokufa kwa njia ya kichawi wanaweza rudi. Ingekuwa hivyo ingekuwa ndo mwisho wa wachawi kufanya ujinga wao na pia kuumbuka. Pia watu wengi wangerudishwa maana kila mtu angeenda kuuchukua. Kumbuka kuwa hapa Tanzania mambo kama hayo yanafanya watu wengi waliofanikiwa kushindwa kufanya maendeleo yao vijijini kisa ni ujinga huu
 
Sasa kuto kuvijua wewe haimaanishi kwamba havipo, kwa hiyo ili uamini kuwa kuna ushoga ni lazima uliwe wewe trako kwanza ndio utaamini ushoga upo?
Kwa hiyo nikisema mimi ndo nilimpa Mimba mama yako ukazaliwa wewe utakubali? Kuwa wewe ni sehemu ya my sperms?
 
Uchawi ni chanzo kikuu cha umasikini, tuupige vita. Tusiwaone wajinga watu wa Kanda ya ziwa waliokuwa wakiua vikongwe vichawi, na wengine kuwafukuza kwenye jamii zao, walichoshwa.
Enzi za macho mekundu?
 
Na vijijini ndo Kuna matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…