Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

So unataka kuniambia Wakati wa uwepo wa dinosaur hapokuwako wanadamu duniani??
 
Yaaah hawakuwepo, kwa sababu Dinosaurs walikuwepo katika Era ya Mesozoic huku Mwanadamu alianza kuexist katika Era ya Cenozoic ambayo ndiyo ipo mpaka sasa.
Ndio maana tafiti za kihistoria na kijografia hua siziamini kabisa. I only believe Physics and biology.
So kwani dunia imekumbwa na extinction ngapi? Mbali na hiyo ya dinosaur
 
Outstanding sir.
Je hakuna kiumbe yoyote aliyetoweka katika mazingira wakati binaadamu yupo (not a global extinction. Kama wapo nitajie
Ukisoma kuhusu extinction kuna wengine wanasema 5 mass extinctions kwa sababu ya kutojumuisha generation hii ya sasa.
Lakini kuna wanasayansi wengine wanasema 6 kwa kujumuisha human generation ya sasa ambayo inajulikana kama Holocene Extinction.​
 
Ukisoma kuhusu extinction kuna wengine wanasema 5 mass extinctions kwa sababu ya kutojumuisha generation hii ya sasa.
Lakini kuna wanasayansi wengine wanasema 6 kwa kujumuisha human generation ya sasa ambayo inajulikana kama Holocene Extinction.​
Turudi kwenye msingi wa mada yetu.. Kati ya wanyama waliotoweka wakati binadamu yupo je alipata madhara gani??
 
Turudi kwenye msingi wa mada yetu.. Kati ya wanyama waliotoweka wakati binadamu yupo je alipata madhara gani??
Madhara lazima yawepo Pal', either direct or indirect impact.
Hata wewe leo ukisema mimi na JF basi lazima kuna mabadiliko ya pande mbili yatatokea, kwanza kwa wanamembers wote waliozoe kusoma contents zako wataona there is missing piece in JF. Pili utaexperience mabadiliko ya mfumo wako wa maisha, kwa ule muda uliokuwa unatumia kuchat na kuandika threads JF basi utajikuta unatafuta hobbies nyingine za kufanya.
Hivyo hivyo ni sawa kwenye mzunguko mzima wa mazingira/nature Sir.​
 
Trust me pal nothing will change kama nikitoka humu. Ni miezi 3 sasa sipo humu na nothing happened. Maisha bado yanaendelea.
 

Nikiwa nimevaa suti naenda harusini nikiona nyoka lazima nimsulubishe.
 
Kama ni kazi ya kufanyia nyuma ya keyboard sawa naweza ila kama ni kwenda field kabisa kwenye manyoka hapana. Naogopa ule muonekano wao aisee. Haya yakiwa makubwa.
Kama carter snake wanavyotisha sijui wana mapembe wale
Mimi ni mfugaji wa Nyoka karibu sana Kwangu uone shamba langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…