Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Ukweli ni kwamba mwanadamu hakupata hasara yoyote au madhara yoyote kabla na baada ya kutoweka kwa Dinosaur.
Kwa sababu kulikuwa hakuna dalili ya uwepo au kuja kuwepo kwa kiumbe kiitwacho Mwanadamu (Human Being).

Extinction of Dinosaur imetokea miaka million 66 iliyopita huku ikisababishwa na kudondaka kwa large asteroid ambayo ijulikanayo kwa jina la K-T Meteor.​
View attachment 2461257
So unataka kuniambia Wakati wa uwepo wa dinosaur hapokuwako wanadamu duniani??
 
Yaaah hawakuwepo, kwa sababu Dinosaurs walikuwepo katika Era ya Mesozoic huku Mwanadamu alianza kuexist katika Era ya Cenozoic ambayo ndiyo ipo mpaka sasa.
Ndio maana tafiti za kihistoria na kijografia hua siziamini kabisa. I only believe Physics and biology.
So kwani dunia imekumbwa na extinction ngapi? Mbali na hiyo ya dinosaur
 
Screenshot_20221229-173841_1.jpg
 
Outstanding sir.
Je hakuna kiumbe yoyote aliyetoweka katika mazingira wakati binaadamu yupo (not a global extinction. Kama wapo nitajie
Ukisoma kuhusu extinction kuna wengine wanasema 5 mass extinctions kwa sababu ya kutojumuisha generation hii ya sasa.
Lakini kuna wanasayansi wengine wanasema 6 kwa kujumuisha human generation ya sasa ambayo inajulikana kama Holocene Extinction.​
 
Turudi kwenye msingi wa mada yetu.. Kati ya wanyama waliotoweka wakati binadamu yupo je alipata madhara gani??
 
Turudi kwenye msingi wa mada yetu.. Kati ya wanyama waliotoweka wakati binadamu yupo je alipata madhara gani??
Madhara lazima yawepo Pal', either direct or indirect impact.
Hata wewe leo ukisema mimi na JF basi lazima kuna mabadiliko ya pande mbili yatatokea, kwanza kwa wanamembers wote waliozoe kusoma contents zako wataona there is missing piece in JF. Pili utaexperience mabadiliko ya mfumo wako wa maisha, kwa ule muda uliokuwa unatumia kuchat na kuandika threads JF basi utajikuta unatafuta hobbies nyingine za kufanya.
Hivyo hivyo ni sawa kwenye mzunguko mzima wa mazingira/nature Sir.​
 
Trust me pal nothing will change kama nikitoka humu. Ni miezi 3 sasa sipo humu na nothing happened. Maisha bado yanaendelea.
 
Okay Sir
Nafikiri tungeigawa hii mada kwenye makundi manne ambayo ni :-
Introduction - Maana ya neno Soul/Nafsi
Main body - Tutaangalia aina za wanyama wenye soul / wanyama wasio kuwa na soul?
Conclusion - Tutafainalize na kucome out with answers?
Reference - Nafikiri hii ndiyo sehemu muhimu kuliko zote. Kwa maana sisi Waafrika hatuna hulka ya kuandika vitabu na kufanya utafiti wa vitu pamoja na mada mbalimbali. So inatuwia kuja vitu mbalimbali au tukivijua basi vinakuwa outdate. Kwa iyo nivyema tukawa respect wenzetu na reference mbalimbali hili kila mmoja kwa wakati wake azidi kusoma zaidi na zaidi.

But it's for my own perspective, if you have yours maybe it can sound good also mate.

Baada ya hayo napenda tena kukushukuru na kukupa pongezi pia kuwa wewe ndiyo number one fan wangu kwa Jukwaa hili la JF.
Mwenyezi Mungu mwingi wa hekima na baraka azidi kukuongoza na kukulinda hili kuweza kufikia hatma yako ya maisha yako ya kiroho pamoja na ya kimwili.

Almighty God bless you Pal'.
Keep it up never stop for what you're doing [emoji120]​
Much appreciation [emoji3577]

Nikiwa nimevaa suti naenda harusini nikiona nyoka lazima nimsulubishe.
 
Kama ni kazi ya kufanyia nyuma ya keyboard sawa naweza ila kama ni kwenda field kabisa kwenye manyoka hapana. Naogopa ule muonekano wao aisee. Haya yakiwa makubwa.
Kama carter snake wanavyotisha sijui wana mapembe wale
Mimi ni mfugaji wa Nyoka karibu sana Kwangu uone shamba langu.
 
Back
Top Bottom