Okay Sir
Nafikiri tungeigawa hii mada kwenye makundi manne ambayo ni :-
Introduction - Maana ya neno Soul/Nafsi
Main body - Tutaangalia aina za wanyama wenye soul / wanyama wasio kuwa na soul?
Conclusion - Tutafainalize na kucome out with answers?
Reference - Nafikiri hii ndiyo sehemu muhimu kuliko zote. Kwa maana sisi Waafrika hatuna hulka ya kuandika vitabu na kufanya utafiti wa vitu pamoja na mada mbalimbali. So inatuwia kuja vitu mbalimbali au tukivijua basi vinakuwa outdate. Kwa iyo nivyema tukawa respect wenzetu na reference mbalimbali hili kila mmoja kwa wakati wake azidi kusoma zaidi na zaidi.
But it's for my own perspective, if you have yours maybe it can sound good also mate.
Baada ya hayo napenda tena kukushukuru na kukupa pongezi pia kuwa wewe ndiyo number one fan wangu kwa Jukwaa hili la JF.
Mwenyezi Mungu mwingi wa hekima na baraka azidi kukuongoza na kukulinda hili kuweza kufikia hatma yako ya maisha yako ya kiroho pamoja na ya kimwili.
Almighty God bless you Pal'.
Keep it up never stop for what you're doing [emoji120]
Much appreciation [emoji3577]