Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu ni kweli ni mTRA ni kweli Miguu imefyekwa kumbe ni jirani site? Ngoja tuoneKigogo wa TRA anaeumwa na kukatwa miguu, aliyejenga Kibaha mnaweza kuunganisha dots.
Sue unamfahamuNajaribu ni kweli ni mTRA ni kweli Miguu imefyekwa kumbe ni jirani site? Ngoja tuone
Ndio maana nataka namalize mchezo kabisaHao ndo binadamu sheikh. Unapambana kummaliza kumbe na yeye yuko na back up plan ya kukulipizia.
Kilimegwa hajajukua chote !Mtoa mada kiwanja ulichodhulumiwa umerudishiwa?
Habari wadau..!
Dunia imejaa dhuruma na chuki sana kama haujawai kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.
Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.
Hauwezi amini nilikaa miaka miwili bila kutembelea siku nilipofika site nikakutwa eneo langu nusu limejengwa ,nikaenda kushitaki sheria ikapindishwa ikala kwangu.
Hapo nikaanza sasa kuutamani uchawi na ubaya wake ikabidi niingie chimbo kuwasaka wazee wa tunguli nilikuwa ma hasira asikwambie mtu nilikuwa na tafuta mganga wa kunisaidia kumuua kabisa huyu jamaa lakini kwa kila mganga niliyeenda alikuwa na huruma walinishauli nimpe mateso tu mpaka aombe radhi nilimpiga kombola moja tu ss hivi yupo ndani tu ajulikani anaumwa nini kapoteza miguu yote miwili na anachoumwa hakijulikani ,kidogo sasa moyo wangu una amani,lakini bado natamani nimmalize kabisa.
Naombeni ushauri wadau nipate mganga mzuri nimmalize kabisa huyu jamama ndio nafsi yangu itaburudika ?
Mkuu mm kuna jirani yangu kanizurumu laki tisa na nusu nipe utaratibu na mm nimkomoshe.