Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

Kummaliza kwa tunguli sio uanaume, mmalize kikomando kipensi.. Nenda kavurumushe m'bomu wa samaki pale kwenye mjengo wake.. Hakikisha umevaa usongo, na umejipaka masizi kama anodi shozniga katika anodi ya jeni..

[emoji23][emoji1787]
 
Habari wadau..!
Dunia imejaa dhuruma na chuki sana kama haujawai kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.

Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.

Hauwezi amini nilikaa miaka miwili bila kutembelea siku nilipofika site nikakutwa eneo langu nusu limejengwa ,nikaenda kushitaki sheria ikapindishwa ikala kwangu.

Hapo nikaanza sasa kuutamani uchawi na ubaya wake ikabidi niingie chimbo kuwasaka wazee wa tunguli nilikuwa ma hasira asikwambie mtu nilikuwa na tafuta mganga wa kunisaidia kumuua kabisa huyu jamaa lakini kwa kila mganga niliyeenda alikuwa na huruma walinishauli nimpe mateso tu mpaka aombe radhi nilimpiga kombola moja tu ss hivi yupo ndani tu ajulikani anaumwa nini kapoteza miguu yote miwili na anachoumwa hakijulikani ,kidogo sasa moyo wangu una amani,lakini bado natamani nimmalize kabisa.

Naombeni ushauri wadau nipate mganga mzuri nimmalize kabisa huyu jamama ndio nafsi yangu itaburudika ?
Uyo mzee yupo huku
 
Sasa hiyo ardhi alikurudishia?
 
Kama ni hivyo basi chote alichofanya ni ubatili
Ninaishi na vijana 5, kati yao watatu ni wanga. Wenyewe wamediriki kusema hivyo. Na hunipa story za jinsi wanavyopaa na kufanya usiku. WAo waliniambia kwa kauli zao kuwa hawatakiwi kufanya chochote cha maendeleo, zaidi ya kuwachezea watu na kuwarudisha nyuma.

Nyuma ya pazia wachawi ni matajiri, ila pesa zo ni kwa ajili ya kukuza uchawi wao na kutoa rushwa iwapo watanasa. Waanjuana, na wanaushirikiano wa ajabu.
 
Safi sana hiyo.
Yani mimi kwa vile sina pesa ya kuwalipa waganga lakini ningekua nishammaliza yule LECTURER.
 
Habari wadau..!

Dunia imejaa dhuruma na chuki sana kama haujawai kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.

Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.

Hauwezi amini nilikaa miaka miwili bila kutembelea siku nilipofika site nikakutwa eneo langu nusu limejengwa ,nikaenda kushitaki sheria ikapindishwa ikala kwangu.

Hapo nikaanza sasa kuutamani uchawi na ubaya wake ikabidi niingie chimbo kuwasaka wazee wa tunguli nilikuwa ma hasira asikwambie mtu nilikuwa natafuta mganga wa kunisaidia kumuua kabisa huyu jamaa lakini kwa kila mganga niliyeenda alikuwa na huruma walinishauri nimpe mateso tu mpaka aombe radhi nilimpiga kombola moja tu sasa hivi yupo ndani tu ajulikani anaumwa nini kapoteza miguu yote miwili na anachoumwa hakijulikani ,kidogo sasa moyo wangu una amani,lakini bado natamani nimmalize kabisa.

Naombeni ushauri wadau nipate mganga mzuri nimmalize kabisa huyu jamama ndio nafsi yangu itaburudika ?
Mimi nilitaka kumtia discipline mkuu wangu wa idara nikavionea huruma vitoto vyake vinavyosoma English medium!!! Yan alikua aingie chini ya tandam apasukie kwenye front excel!!! Na boxer yake !! Yan babu alishaseti mitambo!!!
 
Duh. Naona watu wanaogopa. Kuchangia..

Nilikwenda kwa mganga nimpate mpenz waaapi..lakini mambo tunayofanyiana sehem za Kazi watu ni wa hovyo sana
MTU akiingia kwenye 18 zangu simuachi aisee kuna watu wakuda sana aisee
 
Tabu ya nini kujipa dhambi mara mbili mbili,we nenda home kwake na dumu la petroli tia kiberiti maliza kazi,jisalimishe polisi waambie wasipate tabu ya uchunguzi wakufunge moja kwa moja tena chagua gereza la mng'aro nitakuunganisha na bwana jela akukabidhi kwa mnyapara mmoja mkarimu sana,atakupa chochote unachopenda yani utaishi jela kama uko home vile.
Kwann ufungwe !?? Dawa ni kumtengenezea mzinga
 
Habari wadau..!

Dunia imejaa dhuruma na chuki sana kama haujawai kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.

Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.

Hauwezi amini nilikaa miaka miwili bila kutembelea siku nilipofika site nikakutwa eneo langu nusu limejengwa ,nikaenda kushitaki sheria ikapindishwa ikala kwangu.

Hapo nikaanza sasa kuutamani uchawi na ubaya wake ikabidi niingie chimbo kuwasaka wazee wa tunguli nilikuwa ma hasira asikwambie mtu nilikuwa natafuta mganga wa kunisaidia kumuua kabisa huyu jamaa lakini kwa kila mganga niliyeenda alikuwa na huruma walinishauri nimpe mateso tu mpaka aombe radhi nilimpiga kombola moja tu sasa hivi yupo ndani tu ajulikani anaumwa nini kapoteza miguu yote miwili na anachoumwa hakijulikani ,kidogo sasa moyo wangu una amani,lakini bado natamani nimmalize kabisa.

Naombeni ushauri wadau nipate mganga mzuri nimmalize kabisa huyu jamama ndio nafsi yangu itaburudika ?
Mh! KWANN usingemuachia Mungu tu?! [emoji144]So sad
 
Kummaliza kwa tunguli sio uanaume, mmalize kikomando kipensi.. Nenda kavurumushe m'bomu wa samaki pale kwenye mjengo wake.. Hakikisha umevaa usongo, na umejipaka masizi kama anodi shozniga katika anodi ya jeni..

[emoji23][emoji1787]
I'm back😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom