Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Una matatizo makubwa yanayokujia.Habari wadau..!
Dunia imejaa dhuruma na chuki sana kama haujawai kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.
Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.
Hauwezi amini nilikaa miaka miwili bila kutembelea siku nilipofika site nikakutwa eneo langu nusu limejengwa ,nikaenda kushitaki sheria ikapindishwa ikala kwangu.
Hapo nikaanza sasa kuutamani uchawi na ubaya wake ikabidi niingie chimbo kuwasaka wazee wa tunguli nilikuwa ma hasira asikwambie mtu nilikuwa na tafuta mganga wa kunisaidia kumuua kabisa huyu jamaa lakini kwa kila mganga niliyeenda alikuwa na huruma walinishauli nimpe mateso tu mpaka aombe radhi nilimpiga kombola moja tu ss hivi yupo ndani tu ajulikani anaumwa nini kapoteza miguu yote miwili na anachoumwa hakijulikani ,kidogo sasa moyo wangu una amani,lakini bado natamani nimmalize kabisa.
Naombeni ushauri wadau nipate mganga mzuri nimmalize kabisa huyu jamama ndio nafsi yangu itaburudika ?
Kile unachowatumia wenzio, kikishamaliza kazi huko kilikotumwa kitarudia na kukukula live!