Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Movie ni gharama, ila wabongo tukiongeza ubunifu kidogo tunaweza kufanya kitu angalau.
Ubunifu bila gharama za kupendezesha ubunigu wako si kitu
hizo camera wabongo hatuwezi mudu labda serikali iingilie kati
FB_IMG_16560707044277577.jpg

FB_IMG_16560707167640605.jpg
FB_IMG_16560707312383642.jpg
 
Bongo bado wanaangaika sana na position za kushuti muvi wakati wenzetu wanatumia virtual reality
 
Huyu jamaa nilimkubali alipodandia ndege mara 8 nzima ili tu movie iwe realistic

Au alivyoendesha F18 kwenye Top Gun Maverick
Kuna pale anakimbia kwenye jengo la Burj khalifa kwenye Ghost protocol hamna blue screen ni live.
Halafu mambo anayofanya na umri wake wa 59yr haviendani jamaa hazeeki sijui yupoje.

Huyu na Jack Chan waliumbwa na Guts za aina yao and they don't fear anything
 
Bongo bado wanaangaika sana na position za kushuti muvi wakati wenzetu wanatumia virtual reality
Bongo bahati mbaya wstu tuna vipaji ila hatuna pa kuvionyeshea. Na hakuna faida kifedha
FB_IMG_16560752782699387.jpg
FB_IMG_16560707364312981.jpg
 
Kuna pale anakimbia kwenye jengo la Burj khalifa kwenye Ghost protocol hamna blue screen ni live.
Halafu mambo anayofanya na umri wake wa 59yr haviendani jamaa hazeeki sijui yupoje.

Huyu na Jack Chan waliumbwa na Guts za aina yao and they don't fear anything
Jamaa ni hatari hawa
 
maajabu Zaid ni kuwa hio movie ya wonderwoman gal Gadot alikuwa na ujauzito wa miezi 5 ila waliweka alama tumboni ili wakati wa kufanya VFX nao uzibwe usionekane. Ingekuwa bongo sasa hapo wangesubiri had ajifungue au watafte mtu mwingine
Stunt double na VFX ilitumika hapo ni kama jinsi walivyofuta ndevu za Henry Cavil Kwenye muvi ya Justice League
 
Ok.
IMAX ni mfumo ambao unatumia camera maalumu,kumbi maalumu na Resolution kubwa katika kuonyesha muvi. Unapotazama muvi katika mfumo IMAX 3D unatakiwa kuvaa miwani maalumu ambazo zitakuonyesa kuona muvi usipovaa utaona mawenge macho matupu hayawezi kuona vizuri.

Sasa ukiwa unatazama kwa IMAX 3D watu hawaonenkani kwenye kioo/tv/au kwenye white board ya projector bali unaona watu wapo mbele yako wanapita na kuongea. Yaani inakua kama upo mbele ya waigizaji na sio kwenye tv. Wanaonekana kama hologram ila wakiwa kwenye 3D format, hii inakuwezesha kuona details ndogondogo ambazo kwa mfumo wa 2D huwezi kuona
Uko deep sana mkuu
 
Kama ni hivyo basi kwanini Screenwriter asiwe director yeye mwenyewe yaani kipengele cha Director wakiondoe. Maana Muvi hua ni wazo la Screenwriter
Umewaza nachowaza siku zote

Mwandishi ndio ana picha nzima kuliko director
 
Ok naendelea..

Lakini ile picha hàkua amemchora Borgia Alikua kamchora Anti christ. Brian Deacon kapita kwenye mchujo huo wa watu 260 kilichokua kinatafutwa ni mtu atakayefanana na ile picha aliyechora Leonardo da Vinci ambae ni mpinga Kristo mwenyewe. Sasa bahati ikaangukia kwa Deacon akafanyiwa na make up kidogo akawa amefanana nae. Picha imechezwa na lengo lao limetimia. Leo hii mtu akiona picha ya Deacon atasema ni Yesu.

Lengo ni kwamba Watu tukalili kua yule tunayemwona kwenye picha tuseme ndie Yesu Tukishakua na Mentality hio ikifika ule wakati wa mpinga kristo kuja duniani watu wengi watamfuata kwasababu watakua wamekariri kua ndie Kristo Masihi. na atakua na uwezo wa kutenda miujiza kama Yesu kristo.
Hapa UNADANGANYA UMMA. TENA UONGO WA KITOTO. HUYO MPINGA KRISTO WALISHAMUONA WAPI? HATA YESU HAMNA PICHA YAKE. PLEASE USIPITILIZE KIASI HIKI. yaani kuna kipindi unachukulia kama wote ni vilaza humu 🤣. We unaifahamu sura ya mpinga kristo, mpinga kristo ni mfumo. Siyo mtu mmoja ataamka na kuanza kumpinga Kristo. Hao wa hivyo mbona wengi tu. We jamaa ulitafsiri uzi vizuri ila ukaanza kuharibu hapa kuchukulia kuwa upo na watoto wa darasa la 4 F pale kijiweni kwenu.
 
Back
Top Bottom