Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

Sio kila kitu ni cha kukaa na mwajir, mnapenda sana reference ya onyangoy,, ngja aende CAS atakapo waumbua yanga na TFf yenu..suala hili limetatuliwa kisasa tu, huku sheria zikiwekwa pembeni.. kwanini hadi Leo hakuna ufafanuz wa kisheria... Mpira ni biashara huwez kulazimisha patnership katika biashara Kama maridhiano hayapo..fei aliweka wazi kipengeëele alichotumia,, hao tifutifu wameweka vipengeële walivyotumia?? Badala ya kutoa ufafanuzi kisheria wanafanya media tour kweli??

Uliwah kuona wapi hakimu anamfunga mtuhumiwa bila kutumia vifungu vya sheria.. au anamfunga Halfu anasema siku fulani atakuja kutoa ufafanuzi kwanini nimemfunga...?

CaS Dogo atapta haki yake htakama itaamliwa Bado ni mali ya yanga lkan hukumu yake itatoa mwelekeo Nini fei anatakiwa kufanya kuondoka ynga.. sio hao tifutifu wamekalia stor za vijiweni na za wanasiasa..
 
TFF wanafanya siasa kwenye hii ishu ya FeiToto manake Yanga walipeleka kesi kuhusiana na FeiToto kuvunja mkataba bila utaratibu(kwa mujibu wa Yanga)....sasa cha kushangaza majibu ya hukumu ya awali yanasema FeiToto ni mchezaji halali wa Yanga ambacho hicho ni kitu kingine kabisa nje na topic ya awali.
Hoja ilikua ni kama kweli FeiToto amevunja mkataba bila utaratibu basi aadhiniwe kwa mujibu wa kanuni zao sio kuja kutangaza hukumu eti FeiToto bado ni mchezaji halali wa Yanga kitu ambacho hakuna upande wowote uliopeleka mashtaka TFF kuhusu hilo
 
Ukiwa free agent haina ulazima wa kusubiri dirisha la usajili.... Unasajiliwa muda wowote
 
Hakuna sehemu Feisal anaweza kushinda ata hiyo kesi yake isikilizwe na Infantino Feisal hatoshinda zaidi atapewa onyo kali.
 
inakuuma sana,mnataka vya kunyonga kila siku.
 
Fei kamtia hapo hapo, ukirudi huko Utopoloni umejimaliza.
 
Wewe kweli bonge la chiz.i!

Your browser is not able to display this video.
 
Acha mahaba kwani Fei ni wa kwanza kuvunja Mkataba? Dejan Si alivunja na hakulipa chochote akaenda zake?
 
Acha mahaba kwani Fei ni wa kwanza kuvunja Mkataba? Dejan Si alivunja na hakulipa chochote akaenda zake?
Si bora Dejan alikaa kwenye mkataba kuwa mashart ya mkataba hayakutekelezwa na kwa mujibu wamkataba waoasharti hayo yasipotekelezwa automatic mkataba unakuwa umevunjika?
 
Wewe ndiye yule Mwanasheria wa Fei?

Nenda shule kafute ujing.a wako.
 
Si bora Dejan alikaa kwenye mkataba kuwa mashart ya mkataba hayakutekelezwa na kwa mujibu wamkataba waoasharti hayo yasipotekelezwa automatic mkataba unakuwa umevunjika?
Mkuu HAKUNA Mkataba USIOVUNJIKA, HAKUNA!!!!!! Tatizo tunahangaika kujadili Mkataba ambao hatujauona wala kuusoma kujua terms and conditions zake
 
Acha mahaba kwani Fei ni wa kwanza kuvunja Mkataba? Dejan Si alivunja na hakulipa chochote akaenda zake?
Dejan alitoa sababu ya kuvunja mkataba , wote akina Ronaldo inajulikana sababu , Kwa Fei Ni tofaut kabisa , uhuni uhuni tuuu , nashauri Yanga wambane mpak kende la mwisho, iwe funzo Kwa vijana wengine wa hovyo kama yeye
 
Swali umeuona huo mkataba? umeambiwa vipengere vilivyokiukwa? Kuna Kanuni iliyorejelewa kwenye kufikia maamuzi ya TFF?
 
1) kuhusu barua kuandikwa kingereza, kwani mkataba ulikuwa ni wa kiswahili? Feisal huyo huyo kavunja mkataba uliokuwa umeandikwa kwa kingereza hivyo inawezekana lugha anaijua au kuna mahala anaweza pata msaada.

2)Wewe ulikuwa ndiye mwanasheria wa Feitoto? Kama sio mwanasheria wake je hiyo nguvu yakusema kuwa hajashirikishwa upande wa pili unautoa wapi? Au ulishiriki kwenye majadiliano?
3) kwahiyo hii kesi wanayoshupaza nayo ni wana Simba pekee?

Umetumia hisia sana kutoa hoja zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…