Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Sio kila kitu ni cha kukaa na mwajir, mnapenda sana reference ya onyangoy,, ngja aende CAS atakapo waumbua yanga na TFf yenu..suala hili limetatuliwa kisasa tu, huku sheria zikiwekwa pembeni.. kwanini hadi Leo hakuna ufafanuz wa kisheria... Mpira ni biashara huwez kulazimisha patnership katika biashara Kama maridhiano hayapo..fei aliweka wazi kipengeëele alichotumia,, hao tifutifu wameweka vipengeële walivyotumia?? Badala ya kutoa ufafanuzi kisheria wanafanya media tour kweli??Ndugu mwandishi tulia kwanza! Hivi nanni anaweza kukubali kuweka kipengere cha kuvunja mkataba bila sababu? Mbona mnafanya mambo kihisia nani hiyo?
Hakuna mkataba wa mchezaji yeyote Dunian ambao unakosa kipengere cha kiterminate mkataba kwa kila upande, ila lazima kuwe na sababu zitazopelekea kuvunjwa kwa mkataba uo! Msije mkadhan hiko kipengere kitatumika eti kwasababu kuna ofa nzuri umepata basi uamke ukavunje mkataba, usije ukadhan hicho kipengere kiko uchi namna hiyo!
Onyango kipindi Mgunda hajaingia Simba alikuwa anakosa namba, unakumbuka iliibuka tetesi hapa kutaka kuondoka? Unajua angeondokaje? Basi nakuambia moja ya kipengere hichohicho ndicho akitaka kukitumia kwasababu alikuwa hapangwi, ila Onyango alikaa na waajiri wake wakayamaliza ila sio utoto kama wa Feisal kuwa umelala umeamka asubh bas unaenda kuterminate mkataba! Hakuna uo mwanya aisee.
Mwisho Feisal ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba sio kwa mujibu wa hisia, Feisal atulize kitako atafute wanajua sheria aachane na washauri wabovu kama nyinyi mtampotosha na atapotea.
Uliwah kuona wapi hakimu anamfunga mtuhumiwa bila kutumia vifungu vya sheria.. au anamfunga Halfu anasema siku fulani atakuja kutoa ufafanuzi kwanini nimemfunga...?
CaS Dogo atapta haki yake htakama itaamliwa Bado ni mali ya yanga lkan hukumu yake itatoa mwelekeo Nini fei anatakiwa kufanya kuondoka ynga.. sio hao tifutifu wamekalia stor za vijiweni na za wanasiasa..