Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
Ukiona hivyo basi ujue huyo mtu amejawa na dharau na kiburi kiasi kwamba kila ambacho aidha wenyeji wake walimtahadharisha na yeye kujibu kwani watanifanya nini. Ndivyo tulivyo watazania, tunakosea lakini hatuoni makosa yetu zaido ya kuona pale tunapowajibishwa kama tunaonewa.
Na siyo vya mwarabu aliyeleta Sala za kushinda njaa
Ok...zanzbar nimeishi sana mkuu na kuna wajinga kama wewe walishataka kuleta huu ujinga unaosema wewe nilichowafanya hawawezi kuja kunisahau...Sasa ww njoo huku zanzibar alafu alafu ule njiani au hadharani uone tutavyo kufanya...
Dah kuna jamaa angu kichwa mbovu kweli ni christian
Nataman angefika huko , angewanyoosha vilivyo hao mbwiga wanaoleta usumbufu huko !
Uzuri ni kwamba ukijikubalisha yaani wala hutoona tabu na utaona kila kitu kinakwenda sawa tu, wala hutogombana na mamlaka.Sawa mkuu mimi nimekuelewa
Kwanini mkataze watu kula!Mara nyingi mtu hujikuta hautambui unachohitaji hasa ni nini. Tangu mwez mtukufu umeanza wengi mnakuja na malalamiko ambayo hayaeleweki hasa mnahitaji nini.
kwamba mnalalamika kwa sababu ngozi nyeupe wanaruhusiwa kula hadharani na ninyi hamruhusiwi? kwamba ikitokea na ngozi nyeupe wakakatazwa kula hadharani bas hapo hamtalalamika tena?
Ok...zanzbar nimeishi sana mkuu na kuna wajinga kama wewe walishataka kuleta huu ujinga unaosema wewe nilichowafanya hawawezi kuja kunisahau...
Hapo ndo tunapozitilia shaka baadhi ya dini...wenyewe kwanini walete taratibu zao za dini huku mitaani....kuna siku wasabato nao watatupiga marufuku kunywa chai sababu dini yao hairuhusu kutumia majani ya chaiWanasema ukienda kwenye mji wa vipofu nawe jifanye chongo mkuu, sasa we unataka kujifanya una macho wakati mamlaka zipo na zinajua watu wote kwenye mji huo ni vipofu.
ni gesture ya kuwatafuta maneno,wala si kwamba unawamanisha kwani hata wao huo mchana kuna vyakula vinapikwa ajili ya futari,sasa wewe umetoka katikati ya mtaa na kuanza kubugia matonge ya ugali it is a fk you gesture kwao na lazima wakudisplinMkuu kwani nikila hadharani nikionekana kuna ubaya gani...nakuwa nimevunja sheria gani ya nchi???
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Mimi ningepika ndani, ila napika nyama kwa mtindo wa kunukia mpaka nyumba ya 5.
Sijawahi kupapenda zanzibari
Ndo mana nimekwambia jichanganye uone nitakachokufanya...kuna wajinga kama wewe washawahi jichanganya sasa nizamu yako wewe kujichanganya...kwani shida ipo wapi??si nakutajia tu naposhinda na time ambayo napata lunch tena hadharani ile uje na hao wajinga wenzio wanaotaka watu wote tufuate hizo dini zenu mlizoletewa na wazungu nikupe funzo...njo pm nikupe details mkuu hapa naona tutaendelea kubishana tuHujawahi ww unaongea tu njoo sasa tukutie adabu unadhani ni dini ya gwajima hii
Wenzetu ni wajinga kwakweli
Mkuu kitu ambacho hakipo ukitaka kukiweka hivi sasa ni tatizo. Lakini umeona wapi ndani ya Zanzibar adhana muda wote na watu wakawa wanakasirika kuwa wanakerwa na kelele zake, lakini katika miji mengine si wanasema wanafanyiwa kelele na adhana? Lakini hapo hapo kuna bar jirani na inapiga mziki usiku kucha watu hao hao hawasemi kuwa wanakerwa na kelele za mziki kutoka bar. Ndipo nikasema usilazimishe kitu ambacho kipo katika mji wa watu kifanane na katika mji wako au kilichopo katika mji wako kifanane na katika mji wa watu. Upo katika mji wa watu fuata taratibu zao na hutogombana nao. Faqat.Hapo ndo tunapozitilia shaka baadhi ya dini...wenyewe kwanini walete taratibu zao za dini huku mitaani....kuna siku wasabato nao watatupiga marufuku kunywa chai sababu dini yao hairuhusu kutumia majani ya chai
Mkuu unaniletea maswala ya mungu sijui alisema nini mi nayajulia wapi ..hujui nchi yetu kila mtu ana uhuru wa kuchagua dini yoyote na inatambua hata wasio na diniMr Morogoro,hata utilie wasiwasi haisaidii,Mungu mwenyewe alisema fuata dini ambazo ndo zina amri zake au laa,atakutupa jehanumu ufe huko,je unamtilia wasiwasi Mungu kwa kulazimisha watu wamwabudu?
Unakula hadharani hali ukijua ni hadharani wakati huo huo ukijua jamii kubwa imo katika ibada ya funga, hayo ni makusudi ya makuruhu/maudhi. Hukumu yako inastahili kuwa papo kwa hapo !Mkuu kwani nikila hadharani nikionekana kuna ubaya gani...nakuwa nimevunja sheria gani ya nchi???
Na wewe wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.Wewe ni mpumbavu wa kutupa. Acha kurukia watu humu usiowajua kwa kujifanya unawajua. Huu uzi hauhusu ushoga lakini zwazwa wewe huelewi. Kama ungeona michango yangu kuhusu kuupinga ushoga usingeandika huu UPUUZI WAKO kama huna cha maana cha kuandika kuhusu mjadala husika kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Pimbi wewe.
Hivi mjeshi Mkristu akila hadharani naye watamkamata?
Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Hivi hizi mada za kiuchonganishi zitakwisha lini? Maana yanayoongelewa ni kinyume na uhalisia na bado watu wanaamini, na wengi wa wanaoamini ni wale ambao Zanzibar wanaisikia kwenye radio. Hata kama ni kufinga katika mwezi mtukufu wa Ramadhan lakini kwa wale ambao sio dini yao haiwapasi kufungishwa kwa lazima na wala sheria haiwabani kula kwao ila inatakiwa staha kwa wenyeji au wenye mji husika. Sasa naona kuna wachafuzi ambao kazi yao ni kuchafua imani za wenzao then wao wanakaa pembeni kuangalia mchuano wa watu wanavyorushiana maneno humu. Dah
الجنونو فنونو!
Msome huyo jamaa halafu useme kama haya mambo hayapo.Na tutaendelea na utaratibu wetu wazanzibar viboko vitawahusu wote wanaokula hadharani au kwa kujionyesha
..