Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

@Mrmorogoro,Mungu hana democrasia,uwe unamkubali au haumkubali,usipofata amri yake atakudisplin tu
 
Sinaga ujinga mie nasimamia haki na uhuru wa Watanzania wote wale. Zanzibar kunajulikana kwamba kuna wageni chngu nzima wa kutoka Bara na Watalii kutoka nchi nyingi duniani halafu eti kwa kuwa wailamu wamefunga basi muwanyime wasiokuwa waislamu haki yao ya kwenda kupata chakula sehemu waitakayo safi na wanakula kwa raha zao. Ni aya ipi iliyoandika kwamba Waislamu wana haki ya kuwazuia wasiokuwa waislamu kupata milo yao mchana wakati wa Ramadhani? Acheni kutenda dhambi kwa wasio Waislamu kwa kusingizia kufunga.

Na wewe wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
 
Dini sio sheria mkuu...ndo mana katiba yetu inatutambua hata sisi tusio na dini..maswala yenu ya sheria za dini yapelekeni huko makanisani na misikitini kwenu...huku tunaishi kwa kufuata sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania
Kukosa kwako dini si kibali cha kuvuruga ibada za wenye dini
 
Mkuu kitu ambacho hakipo ukitaka kukiweka hivi sasa ni tatizo. Lakini umeona wapi ndani ya Zanzibar adhana muda wote na watu wakawa wanakasirika kuwa wanakerwa na kelele zake, lakini katika miji mengine si wanasema wanafanyiwa kelele na adhana? Lakini hapo hapo kuna bar jirani na inapiga mziki usiku kucha watu hao hao hawasemi kuwa wanakerwa na kelele za mziki kutoka bar. Ndipo nikasema usilazimishe kitu ambacho kipo katika mji wa watu kifanane na katika mji wako au kilichopo katika mji wako kifanane na katika mji wa watu. Upo katika mji wa watu fuata taratibu zao na hutogombana nao. Faqat.
Ndo mana nakwambia huo ndo upuuzi wa hizi dini...kama muislamu anafanya adhana zake huko miskitini we mkristo yanakuhusu nini...akifanya adhana zake anavunja sheria gani ya nchi??huu ujinga kazima tuupinge
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hana sababu ya kuja kuandika humu uongo kama jambo hili halijamtokea Mkuu, ni unyama wa hali ya juu. Kule Saudi Arabia ambako ndiko kitovu cha Uislaumu hawafungi mahoteli ili kuzuia wale ambao wasio waislamu wasile mchana. Ni upumbavu tu tena wa hali ya juu.

Msome huyo jamaa halafu useme kama haya mambo hayapo.
 
Sinaga ujinga mie nasimamia haki na uhuru wa Watanzania wote wale. Zanzibar kunajulikana kwamba kuna wageni chngu nzima wa kutoka Bara na Watalii kutoka nchi nyingi duniani halafu eti kwa kuwa wailamu wamefunga basi muwanyime wasiokuwa waislamu haki yao ya kwenda kupata chakula sehemu waitakayo safi na wanakula kwa raha zao. Ni aya ipi iliyoandika kwamba Waislamu wana haki ya kuwazuia wasiokuwa waislamu kupata milo yao mchana wakati wa Ramadhani? Acheni kutenda dhambi kwa wasio Waislamu kwa kusingizia kufunga.
Si uende hoteli wanazokula wazungu umekatazwa?
 
Ndo mana nakwambia huo ndo upuuzi wa hizi dini...kama muislamu anafanya adhana zake huko miskitini we mkristo yanakuhusu nini...akifanya adhana zake anavunja sheria gani ya nchi??huu ujinga kazima tuupinge
Sasa utaupinga vipi ustaarabu, tamaduni, mila, silka na desturi za wenzio ambazo zipo miaka na miaka?
Na ambazo we mwenyewe umekwenda ugenini na umezikuta?
 
Na hakuna aya yoyote ile ambayo wanaweza kuiweka hapa ili kuhalalisha huo upuuzi wao wa kuzuia mahoteli mchana yasifunguliwe ili wasio waislamu wasipate sehemu za kupata chakula bila bugugha yoyote ile. Mbona Bara hakuna huo upuuzi?

Ndo mana nakwambia huo ndo upuuzi wa hizi dini...kama muislamu anafanya adhana zake huko miskitini we mkristo yanakuhusu nini...akifanya adhana zake anavunja sheria gani ya nchi??huu ujinga kazima tuupinge
 
Ndo mana kuepusha hayo yote serikali imeamua kutunga sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ambazo wote lazima tuzifuate
Na kwa Zanzibar kuna sheria za Zanzibar na ndio zinazofuatwa. Na vile vile sio sheria zote za Jamhuri zinafuatwa Zanzibar. Kama huamini basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hakuna aya yoyote ile ambayo wanaweza kuiweka hapa ili kuhalalisha huo upuuzi wao wa kuzuia mahoteli mchana yasifunguliwe ili wasio waislamu wasipate sehemu za kupata chakula bila bugugha yoyote ile. Mbona Bara hakuna huo upuuzi?
Na bado mtapata tabu Sana.. Wapenda kula.. Ni fimbo tu
 
Na hakuna aya yoyote ile ambayo wanaweza kuiweka hapa ili kuhalalisha huo upuuzi wao wa kuzuia mahoteli mchana yasifunguliwe ili wasio waislamu wasipate sehemu za kupata chakula bila bugugha yoyote ile. Mbona Bara hakuna huo upuuzi?
Nenda Kariakoo ukaone wewe, mpumbavu mwili mzima !
 
Na hakuna aya yoyote ile ambayo wanaweza kuiweka hapa ili kuhalalisha huo upuuzi wao wa kuzuia mahoteli mchana yasifunguliwe ili wasio waislamu wasipate sehemu za kupata chakula bila bugugha yoyote ile. Mbona Bara hakuna huo upuuzi?
Onesha aya Yesu anasema "Mimi Mungu".
 
Akili zako ndipo zilipoishia hapo. Kuabudu kwako hakustahili kuingilia haki ya binadamu mwingine kupata haki zake za kibinadamu kama kupata mlo wakati wewe umefunga. Ni wapumbavu kama wewe tu ndiyo mnapotoka na kuunga mkono huo ujinga. Jaribuni kupiga fimbo Bara muone kazi. Pumbafu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mtapata tabu Sana.. Wapenda kula.. Ni fimbo tu
 
Back
Top Bottom