Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Kuna mpemba yuko morogoro pale hataki hata kupasikiia kwao
Na hakuna mpemba anaetaka kurudi kwao kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mpemba yuko morogoro pale hataki hata kupasikiia kwao
ukienda roma fanya kama waroma wafanyavyo
Mbona kwenye kwaresima nyie m'meshindwa ! Eti unaacha kjla nyama kisha unasema umefunga !? Wagalati m'merogwa na nani ?Hamna lolote, wanakula na wanakuwa na shibe ya maana. Wanajizuia kula kati ya sunrise na sunset after that wanafutuka
Huyo ni mgalatia mwenzio !Kwakweli wewe ni muislamu unaejielewa sana mkuu. Hongera kwa hilo, natamani waislamu wengine waige mfano wako.
Uko sahihi 100% mkuu.Mkuu kuna mijamaa imeingia dini alafu inaingiza tabia zao binafsi na kusingizia eti ni taratibu za dini, dini inatutaka tufunge na funga ni miongoni mwa nguzo 5 za uislam na muongozo hausemi tushurutishe watu kufuata tunachotaka watu tulofunga.
ili kuepusha hayoHaha, Uroma wameuzidisha
waache wao watajua wenyewe hata wakila usiku mzima.imani ya mtu iache hivyo hivyoWaislam hawafungi wanabadilishaga Muda kula tu badala ya kula mchana wanakula usiku.
Unafuturu saa 1 jioni (sawa na breakfast)
Unakula daku saa 4 usiku (Sawa na Lunch)
Unakula daku saa 10 alfajiri (hii chakula cha usiku) [emoji16][emoji16] hapa umefunga nini? Kama sio kuibiana.
Ukifunga ndani ya saa 24 kula mara moja tu, hio ndio kujiweka ndani ya nadhiri. Ila hii yakushindilia chakula masaa mawili kabla ya wafanyakazi kunywa breakfast waende kazini unasema umefunga kumbe umekula alfajiri ni mbwembwe
Huyo jamaa angu ni mmoja wa majanjaweeDAngewajua huko jamaa wanaoitwa Janjaweed !
Inashinda ile Dini walimuwamba mtoto wa mungu msalabani !? Eti halafu wanajisifu amewakomboa. Wanakunywa damu yake (kama mavampire) na kula nyama yake (mwili)Hakuna dini yenye watu wenye roho za kikatili kama ya kiislam!
Ni muislamu mwenzenu lakini yeye anaonekana ana uelewa wa tofauti ukimlinganisha na waislamu wengine. Kwa ufupi jamaa anajitambua, igeni mfano wake tafadhali.Huyo ni mgalatia mwenzio !
Umenifurahisha, umeamua kuwapa makavu live.Pepo ya unafiki nna uhakika hawana wema wowote zaidi ya wivu tu kwa watu wenye uwezo wa kununua chakula hali ngumu inajulikana nchi nzima ila watu wanatumia mwamvuli wa ramadhani kujifanya itikadi kali ilhali wanabana matumizi haiwezekn kufunga ufunge wewe akila mtu mwingine inakuhusu nini boya wewe?
Hahaaaah huwezi kunilazimisha mimi kuwa na dini....dini zenyewe hizi si mmeletewa na wazungu....sheria ya nchi yetu inaruhusu mtu kuwa mpagani,muislamu or mkristo...mimi nikiwa mpagani inakukera wewe nini...mimi kula mchana inakukera wewe nini na wewe si ule...mkuu mimi nafanya chochote nachojiskia ili mradi sivunji sheria za nchi.....nikiamua kula kitimoto wewe yanakuhusu nini....nini kinakukera na kwanini uteseke mkuuHuu upuuzi wako wa kukosa dini (upagani/ushenzi) unatakiwa ukome mara moja !
Swali zuri sana!Wakristo wanapofunga huwa wanawakataza nyie kula?!
@BAK kuna watu wengine hawastahili hata kujibiwa, kwanza nchi gani ushoga unalazimishwa?Hebu acha upumbavu wa kutoka nje ya mada. Kinachojadiliwa hapa na ushoga wapi na wapi? Nyie ndiyo huwa mnafeli mitihani kwa upumbavu wa hali ya juu. Mjadala unahusu mtu kukosa sehemu ya kula kwa sababu tu ya Ramadhan na weye unaleta upuuzi wako usiohusu kitu kwenye uzi huu.
Kama wewe myahudi unavyochukia kwenu !Kuna mpemba yuko morogoro pale hataki hata kupasikiia kwao
Hivi hizi mada za kiuchonganishi zitakwisha lini? Maana yanayoongelewa ni kinyume na uhalisia na bado watu wanaamini, na wengi wa wanaoamini ni wale ambao Zanzibar wanaisikia kwenye radio. Hata kama ni kufinga katika mwezi mtukufu wa Ramadhan lakini kwa wale ambao sio dini yao haiwapasi kufungishwa kwa lazima na wala sheria haiwabani kula kwao ila inatakiwa staha kwa wenyeji au wenye mji husika. Sasa naona kuna wachafuzi ambao kazi yao ni kuchafua imani za wenzao then wao wanakaa pembeni kuangalia mchuano wa watu wanavyorushiana maneno humu. Dah
الجنونو فنونو!