Tatizo lako nini? Unataka kufakamia mbele ya watu waliofunga? Si ukale na mkweo chumbani kwenu.Kwahiyo dini yenu inawaambia mkifunga hamtakiwi kuona watu wasiofunga wakila?
Kuna Aya inasema ivyo?
Kwahiyo hawa waislam wa dar wanavyofunga huku huduma za vyakula vina endelea na wengine paka wameajiriwa kwenye migahawa wanauza chakula wanakuwa wanafanya makosa?
Imekua vita
Kwahiyo wafuate elimu yako au elimu ya dini yao?Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
Kitawaliwe na nani sasa, wakati huo UPUUZI unasimamiwa na UTAWALA/ SERIKALI?Icho kisiwa chafaa kutawaliwa kijeshi
Kwahyo elimu ya dini yao inawaambia kuwa kufunga kwao kuathiri wengine? Basi hiyo Ni elimu mfu ya mwarabuKwahiyo wafuate elimu yako au elimu ya dini yao?
Zanzibar Kuna elimu gan?Lete ushahidi. Wacha chuki.
Kufunga kwako kunanihusu Nini Mimi? Mnafunga kwa fashion na sio iman tatizo ni elimu ndogo inawasumbuaUkiona hivyo basi ujue huyo mtu amejawa na dharau na kiburi kiasi kwamba kila ambacho aidha wenyeji wake walimtahadharisha na yeye kujibu kwani watanifanya nini. Ndivyo tulivyo watazania, tunakosea lakini hatuoni makosa yetu zaido ya kuona pale tunapowajibishwa kama tunaonewa.
Kwahyo elimu ya dini yao inawaambia kuwa kufunga kwao kuathiri wengine? Basi hiyo Ni elimu mfu ya mwarabu
Hapo sasa tumekuelewa mkuu, kwanza huna dini pili unamdharau hata mkuu wa nchi Zanzibar! Hivyo kwako sio tabu kuwadharau wazanzibari woteWho is dr shein??...
Raisi wa tanzania na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu anaitwa magufuli...zanzbar ni sehemu ya tanzania na hakuna nchi inayoitwa zanzbar ila kuna serikali ya mapinduzi ya zanzbar
Asante mkuuMkuu kuna mijamaa imeingia dini alafu inaingiza tabia zao binafsi na kusingizia eti ni taratibu za dini, dini inatutaka tufunge na funga ni miongoni mwa nguzo 5 za uislam na muongozo hausemi tushurutishe watu kufuata tunachotaka watu tulofunga.
Ni ulimbukeni tuYote ni juu yako. Kikubwa kama ni sheria iliyo katika dini anayoiamini hakuna shida hata ukikashifu
Ni ulimbukeni tu
Anafanya fujo tu huyu,aende akale wanapokyla wazungu,anaongeza uongo kuwa wao wanaachwa eti akila yeye atakamatwa,aache uchochezi.Na hizo hotel kubwa ukienda kula ngozi nyeusi bado unasumbuliwa? ama ni huko mtaani tu?
Kama ilivyo dini ya wapuuzi wengine wasio na adabu,wakila wao wanataka kila mtu ale kila mahali.Kuna dini imejaa wapuuzi sijapata ona...kuna dini inataka wenyewe wakishinda njaa basi kila mtu nae ashinde njaa
Hawa ndio hasa wanashinda huo mtihani yaani anajizuia live bila chenga hao wa puuzi wa huko siwaelewi kwani Zanzibar yote wanaoishi huko ni waislam pekee? By the way watu wanakula twice usiku aina hii ni mfungo wa masaa 12 ya mchana tuWaislamu wa bara na zanzibar ni tofautu?? Mbona wa huku wanavumilia tukila hadharani?? Tena wengine ndio wanatuuzia chakula kwenye migahawa
Hahahaa! JF kila mtu msomi Ila elimu yenyewe ndio hii inayolalamikiwa kila siku
Mpe nauli Ya boti afike MkuuDah kuna jamaa angu kichwa mbovu kweli ni christian
Nataman angefika huko , angewanyoosha vilivyo hao mbwiga wanaoleta usumbufu huko !