Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Kwenye ukristo kuna masharti yake mfano kuna fidia ya ubatizo kama hujalipa unaweza kubatizwa?.
Kama ukiwa mlokole hivi Lutheran au wakatoliki watakusalia na kukuzika?
Kwa waislam wao hata uwe shia basi ukifa watakuzika tu hata uwe na dhehebu lipi utadhikwa tu. Kila sehemu na sheria yake usiifanye sheri kuwa njia ya ubaguzi.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndiyo maana hawajaja kukulazimisha kwenu,umewafuata kwao acha waishi maisha yao.Wenyewe wakila hawamlazimisgi mtu kula umesikia wapi mtu analazimishwa kula but wanaoshinda njaa ndo wanataka kila mtu ashinde njaa....chezea njaa wewe....mtu anaona wivu wenzie kula....cha msingi kila mtu afuate imani yake tusilazimishane kufuata imani za wengine
Nimewafuata kwao wapi...kwao misikitini???....jamuhuri ya muungano wa tanzania inatambua waislamu,wakristo na watu wasio na dini...wewe ukiwa muislamu or mkristo or mpagani unaruhusiwa kuishi sehemu yoyote ndani ya jamuhuri ya muungano wa tanzania na kuishi vyovyote utakavyo pasipo kuvunja sheria za nchi...Ndiyo maana hawajaja kukulazimisha kwenu,umewafuata kwao acha waishi maisha yao.
Wakristo bwana!! Sasa hizi propaganda za uongo zinasaidia nini,??? Mbona sehemu za kula kwa wasio Waislamu ziko nyingi..
Ukenda Maisara sehemu moja inatwa CCM inapata chakula unachotaka..
Anyway, Zanzibar iko hivyo miaka nenda miaka rudi mbona Wakristo wazawa wa Zanzibar hawajalalamika!!!!?
Kumbe ulikuwa unalenga kutaja msikiti,we ulizungumzia chakula,na ulisema huko umeenda tu,sasa mahali siyo kwenu unataka kuwabadilishia maisha wewe kama nani?acha ushamba wewe,maisha ya kibandani kwako unataka yakawe ya wenye mji wao?Nimewafuata kwao wapi...kwao misikitini???....jamuhuri ya muungano wa tanzania inatambua waislamu,wakristo na watu wasio na dini...wewe ukiwa muislamu or mkristo or mpagani unaruhusiwa kuishi sehemu yoyote ndani ya jamuhuri ya muungano wa tanzania pasipo kuvunja sheria za nchi...
M'mefunga kitapeli tapeli, wenyewe mnaita 'kwaresma' hakuna mtu kawasemesha humu. Baada ya Ramadhan Kareem kuanza tu, kihere here, maneno, uzushi hauishi humu JF ! Hivi mna nini Wagalatia !?
Unapo zungumzia neno HAKI,ubaguzi tena ukazidi kuseama SA wamevitendea haki ----nimekudharau kiwango cha mnara ulio juu---south afrika ndo inch inayo ongoza kwa ubaguzi afrika tena ubaguzi wakutoa damu kwa kuchinja na kupiga mpka kuua-nakupa fursa yakutaja inchi zengine ila si kwa ulio itaja---kadanganye unao waona mazuzu ila si humu jf mkuu-humu ni great thinkers watupuu
Hizi ndo akili mbovu mbovu !Mi naishangaa sana hii dini yani wana akili mbovu mbovu mbovu
Mim binafsi sijawahi kuona.Eti zenj kuna sehemu wakristo wamepangiwa sehemu ya kula. Msilete uPimbi nyie
Kafiri baba yakoKwakuwa Waislamu wana hekima, naona makafiri wanatukana tu alafu hakuna Waislamu wanaowajibu. Jibu la mjinga ni kumkalia kimya.
Makafiri hawawezi kufurahi kuona kuna sehemu waislamu wamekaa kwa amani.
Laana ya Mungu iwe juu yao wote wenye chuki na Dini hii.
Akili mbovu mbovu ndo hizi !Mi naishangaa sana hii dini yani wana akili mbovu mbovu mbovu
Wewe kafiri.mwili mzima, angalia makafiri wenzio wana number za simu za mungu wenuKafiri baba yako
Wakatoliki wamewatafuna watoto wabeba mishumaa Altareni mpaka Papa kaomba radhi Dunia nzima !katika sehemu hakuna dini ni huku,hata leo kuona dini huku unashangaa unakuta ostazi au imamu ,mchunhaji kumbe jambazi,muaji,shoga n.k
huku sio kabisa
Kama ni rahisi mbona nyie mvmeshindwa !Waislam hawafungi wanabadilishaga Muda kula tu badala ya kula mchana wanakula usiku.
Unafuturu saa 1 jioni (sawa na breakfast)
Unakula daku saa 4 usiku (Sawa na Lunch)
Unakula daku saa 10 alfajiri (hii chakula cha usiku) [emoji16][emoji16] hapa umefunga nini? Kama sio kuibiana.
Ukifunga ndani ya saa 24 kula mara moja tu, hio ndio kujiweka ndani ya nadhiri. Ila hii yakushindilia chakula masaa mawili kabla ya wafanyakazi kunywa breakfast waende kazini unasema umefunga kumbe umekula alfajiri ni mbwembwe
Wakristo wanapofunga huwa wanawakataza nyie kula?!