Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Rudi kwenu hadi mfungo uishe au kale hayo mahoteli yakiyoruhusiwa ya watalii
 
Kwahiyo unasema kwamba mtoa mada anapotosha?
Watu wana uhuru wa kula?
Au wanatakiwa wale kwa kujificha.?
 
Hawa watu wanachuki na husda zimewajaa.


maandiko yashasema hawatofurahia hawa kuwaona waislam mpka tufuate mila zao.


Na kwanin zanzibar haiwatoki midomoni mwao.
Tatizo lako nini? Unataka kufakamia mbele ya watu waliofunga? Si ukale na mkweo chumbani kwenu.
 
Hebu jaribu wewe kufunga,kama utafikisha hata saa nne ya asubuhi.Mnatumia ID tofauti kuwagombanisha waislamu na wakristo,wakati hata dini huna.Mkristo wa kweli na muislamu wa kweli,hawezi kukashifu wala kupinga ibada ya mwingine.Wakati Tanzania tunasoma,tunafanyakazi,tunaishi nyumba moja wakristo na waislamu,tunaishi majirani wakristo na waislamu kuna familia ziko nusu waislamu na nusu wakristo,na wote wanashirikiana kwenye furaha na majonzi.
 
Kwahiyo unasema kwamba mtoa mada anapotosha?
Watu wana uhuru wa kula?
Au wanatakiwa wale kwa kujificha.?
Wale dhahiri hadharani hali wakijua wenzao wako kwenye ibada ya kufunga ili iweje ?!
Hii mizaha yenu ndio imepelekea hadi kumuachia mungu wenu awambwe msalabani na wahuni !
 
wANAJIITA WAMEFUNGA ILA daku WANALIAMKIA SAA 10 usiku...Funga yao ni ya Kunywa maji tu tena kwa masaa 12 ila kazi kutesa wengine.
Hakuna kufunga bali kuahirisha muda wa kula, usiku wanashindilia hatari, ndio maana hata bei za vyakula hupanda.
 
Huyu sio mkristo,ni jitu lisilokuwa na dini,mara nyingi hawa wanatumia ID tofauti,mara anakuja na ID ya kukashifu wakristo anajifanya muislamu,mara anakuja na ID anajifanya mkristo anakashifu uislamu.Watu kama hawa ni wa kuwaogopa kama Ebola.
Anataka kutumbia Zanzibar nzima,anayekula mchana mwezi wa Ramadhani ni yeye peke yake,wakati katika uislamu wapo walioruhusiwa kula hata kama ni muislamu:
Wagonjwa
Wanawake waliojifunguwa
Wazazi wanaonyonyesha
Watoto wadogo
Wasafiri
Mwanamke aliye katika siku zake
Wazee sana,wasiojiweza
Hao waliotajwa hapo juu,itakuwa Zanzibar nzima hakuna?
 
Hatufungi(Waislam) kwa kufuata maono yako bali tunafunga kwa namna ambavyo tumepangiwa na MUNGU wetu.Nayo ni kuanzia jua kuchomoza mpaka linapozama.
Wewe funga kwa namna unavyotaka na unavyoona inafaa hakuna shida.
 
Wale dhahiri hadharani hali wakijua wenzao wako kwenye ibada ya kufunga ili iweje ?!
Hii mizaha yenu ndio imepelekea hadi kumuachia mungu wenu awambwe msalabani na wahuni !
Huyu sio mkristo,hawa ni watu wasio na dini,wanatumia ID tofauti kuwagombanisha waislamu na wakristo.Funga ya Ramadhani haikuwaza leo wala jana, duniani,yeye kaikuta na ataiwacha.Hiyo Zanzibar nzima iwe ni yeye tu ndio hakufunga,wakati wapo waislamu wanaruhusiwa kutokufunga kama
Wagonjwa
Wasafiri
Wazazi waliojifunguwa karibuni
Wasafiri
Watoto wadogo
Wanawake walio kwenye siku zao
Wazee sana wasiojiweza
Kwa hiyo Zanzibar nzima,haina watu hao,waliotajwa hapo juu,ni yeye peke yake ndio anakula mchana.
 
Wale dhahiri hadharani hali wakijua wenzao wako kwenye ibada ya kufunga ili iweje ?!
Hii mizaha yenu ndio imepelekea hadi kumuachia mungu wenu awambwe msalabani na wahuni !
Kwani ukifunga nikila mbele yako unatamani au?
Fungeni kwa moyo na siyo kwa kulazimishwa.
Kwahiyo kama umeacha kuiba, mimi nikiiba na wewe unatamani na wewe uibe?
Ukifunga kwa Moyo hata uone chakula hamna shida.

Naona umemzungumzia mwanaume Yesu Kristo. Nilisikia mashetani wakitaja Yesu wanaungua na ndiyo maana umeogopa kumtamka wazi.

Yesu ni Mwanaume, Simba wa Yuda. Alikufa na alifufuka. Nani mwingine amewahi kuvunja hiyo record?

Nasikia mtume wanu mlisubiri afufuke akaishia kuliwa na nguruwe. Poleni.
 
Ukipikia jiko la kuni watakuja mtaa wote kwako hao jamaa ni matatizo
Huu ni uongo uliokithiri kwani hao waislamu hawapiki futari hawawapikii wangonjwa na watoto wao wanachopinga ni kula holela mitaani na kuuza vyakula holela mitaani ila kwako nyumbani unaweza kujipikia chochote ila sio ukapike barazani barabarani ambayo kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo . Tuheshimu maamuzi na mifumo ya maisha ya wenzetu nikama vile mbiga kuachia nguruwe wazurure mitaani ni rukhsa japo inawakera waislamu wachache wahamiaji waliokuwepo pale
 
Na hizo hotel kubwa ukienda kula ngozi nyeusi bado unasumbuliwa? ama ni huko mtaani tu?
As usually hotel kubwa bei za vyakula huwa kubwa mno kiasi siyo kila mtu ana-afford kunywa chai ya 6K na mchana sahani ya ugali 9K ndo mana mdau akasema wasiosumbuliwa na weupe sababu wanaingia hizi hotel za gharama kubwa.
 
Wajitahidi na huku bara wafanye huo ujinga waone wanavyochakaa
 
Huyo jamaa ni mjinga na mweny chuki ya uislam na wazanzibar kwa ujumla, anaumia, umekuja kutoka kwenu uko unataka utupangie taratibu? Mbona wenzake wanakuja na hawalalamiki na wanachukulia ni hali ya kawaida?
 
Ukiona Dini inatumia nguvu za mwilini kueneza imani yake jua kabisa hakuna Mungu wa kweli hapo....HAKUNA HAKUNA. Ila sishangai sana maana nimesoma kwenye Biblia mahali pamesema shetani amepofusha fikra zao wasiijue kweli.... Hawa jamaa hata mbishane nao vip hawawezi waelewa maana tayari mfalme wa dunia hii(shetani) amepofusha fikra zao... Yaani ni neema ya Mungu tu iwatoe huko utumwani vinginevyo vizazi na vizazi vyao vitabaki gizani... Huwa sibishani nao maana najua ntabishana na ASIYEJIELEWA,ASIYEJUA YUKO WAPI KIIMANI,ASIYEJIJUA YEYE NI NANI,ALIYEMEZESHWA IMANI etc...cha muhimu hawa watu ni kuwaombea ili angalau neema ya Kristo Yesu ipitayo fahamu zote ifunuliwe kwao siku moja,hatimaye wapate kuijua kweli ili wawe huru na ndipo wataweza pata tiketi ya kuingia katika ule mji Mtakatifu wenye malango kumi na mawili,wenye furaha na shangwe ya milele...
 
Hii ni dhambi kubwa sana ya kuwatesa wale wasiokuwa waislamu kwa kisingizio cha Ramadhan.
Nope!!!

Ndo uislam unavyofundisha na unavyotaka,ingekuwa tofauti na hivyo angetokea hata shehe mmoja akalikataza hilo ila lina baraka zote za kidini.

Nadhani hii dini ina mambo fulani ya kutisha tisha asiyekuwa nayo aingie either kumbana kwa vile avipendavyo sometimes hata kwa kuuwa,haiwezekani majority nzima Zanzibar wamejaa Waislam tena wanaojiita wamesoma kitabu then wasikemee ujinga huu,dini ndo inavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…